Recent content by Bishweko

  1. Bishweko

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi na tathimini | final submission ya Tundu Lissu katika kesi ya uhaini inayomkabili

    Umejaribu kuleta mambo muhimu inangawa kwa kiasi flani umeshindwa kua neutral
  2. Bishweko

    JamiiForums Tanzania Makatibu wapya CCM: Waislam wako 21, Wakristo 11. Hali inatisha sanaaaaa!

    Kwamba ?
  3. Bishweko

    JamiiForums Tanzania Makatibu wapya CCM: Waislam wako 21, Wakristo 11. Hali inatisha sanaaaaa!

    Ila Wazungu na Waarabu walikosea sana kutuletea hizi taasisi zao.Wangefanya mengine ila wakatuachia imani zetu za Mungu wa kweli nasio hizo taasisi zinazo tugawa kila siku.Mfano angalia huyu mleta mada aisee
  4. Bishweko

    JamiiForums Tanzania Mabadiko Baraza la Mawaziri Yatangazwa

    Kwani teuzi inaangalia au kuzingatia dini?
  5. Bishweko

    JamiiForums Tanzania Heche: Nimemsikia yule mtoto Kenani Kihongosi eti anataka mdahalo na mimi, nikimuuliza Polepole na Nchimbi wako wapi atanijibu..?

    Hivi kila swali lazma liwe na jibu? Heche akiulizwa tone tone atasemaje au ile ya kua yeye ni mkenya na mtanzania aliechangamka..
  6. Bishweko

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Nchimbi hajapatikana? Maaskofu kwa nini mnanyamaza? waseme kwenye makanisa yao

    Kwamba Nchimbi alipokua anaonekana kwenye misafara alikua anatupa taarifa CHADEMA? 2030 ni projecti itakuja bila ata nyie kujua aisee
  7. Bishweko

    JamiiForums Tanzania FALSE Bobi Wine Ordered for the Killing of Moses Matovu

    But Tamale toina magezi kasilu ggwe
  8. Bishweko

    JamiiForums Tanzania Kuzimwa kwa Umeme na Intaneti, Askari Kumwaga Barabarani Nchi Nzima Siku ya Hukumu ya Kesi ya Uhaini dhidi ya Lissu?

    Hivi una nia gani na Lissu? Maana kila siku unakuja na mada kua atahukumiwa kufungwa au kunyongwa mpaka kufa. Unatupaka mafuta kwa mgongo wa chupa eti
  9. Bishweko

    JamiiForums Tanzania Kuzimwa kwa Umeme na Intaneti, Askari Kumwaga Barabarani Nchi Nzima Siku ya Hukumu ya Kesi ya Uhaini dhidi ya Lissu?

    Kabisa sionagi umuhim wa kumfunga mtu jera ata kama amekutwa anaiba au anabaka. Maana mwisho ni mmoja
  10. Bishweko

    JamiiForums Tanzania Hii kesi inawavua nguo mawakili wa serikali nani wa kuwavisha tena? Njia pekee ni kuwateua wawe majaji

    Hivi tunajua maana ya kwenda mahakamani kweli?
  11. Bishweko

    JamiiForums Tanzania Tulikaa Kimya kwa POLEPOLE, Tukikaa Kimya kwa NCHIMBI, nawahakikishia, Hii NCHI itaongozwa Kifaulme !! Mpaka Lissu anamuulizia!¡

    Mkuu tupe location tukuunge mkono ili tumtafute Nchimbi na Lissu awe rais
  12. Bishweko

    JamiiForums Tanzania UNGA meeting Kenya speech Vs Tanzania speech!

    Kwahiyo kusoma na kuongea tu kuna shida gani? Hivi kweli bado tunashindana kwamba nani ameongea na nani amesoma hotuba... KWELI SISI NI WATU WEUSI
  13. Bishweko

    JamiiForums Tanzania Makonda: Maandamano kuzuia AFCON? Hayatakuwepo, Mtanzania anataka Amani!

    Kweli kabisa..ila sisi CHADEMA tusema watanzania wote wanataka katiba tunakua tumeongea na tunawamiliki ili atakua alijui
  14. Bishweko

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Heche leo akiwa Shinyanga, asanteni sana wananchi

    Unataka kusema kwakua wakati ule ulikua unampikia
Back
Top Bottom