Recent content by Bishanga Abashaija

  1. B

    Rais Kikwete alimtuma Membe kwa Mwalimu Nyerere, Sehemu ya Pili (2)

    Asante sana kwa historia hii muhim. Hakika uraia pacha ni jambo jema hasa kiuchumi jambo ambalo linawezesha mtu kuwekeza kwenye nchi husika kama raia bila kulazimishwa kupoteza uraia wa asili yake.
  2. B

    Waziri Mwijage: Mimi ni 'propagandist' niliyesomea China. Aagiza tani 20,000 ya sukari bandarini itolewe

    1. Nchi inatumia tani 40,000 kwa mwezi na waziri anasema ana stock ya 43,000 hivyo inatosha! kichekesho 2. Yeye ni muumin asingependa waislam wafunge na shida ya sukari! it means tunatafuta ufumbuzi wa sukari ajili ya mfungo na hatuangalii taifa limeteseka vp kipnd chote walivyoitoa sukari 1800...
  3. B

    Saudia Sasa kuruhusu Ujenzi wa Makanisa

    No longer at easy kaka!
  4. B

    Baada ya Malasusa kutengwa, askofu KKKT aomba radhi waraka kutosomwa kanisani

    Hivyo vyeo "nyeti" vinakusaidia nini kiimani? Na hao "mjahidina" ni Dini/dhehebu gani? Na wote ulowataja amabo inaonekana hawapati hivyo vyeo "nyeti" wamepoteza nini kiimani?
Back
Top Bottom