Amekukumbuka sana ila hatakutafuta tena. Kwa muda mrefu sasa amejitahidi mno kuonesha mapenzi kwako ili kukufurahisha. Kwa muda mrefu sana amekuwa akitenga muda wake kukumbuka na kukujali.
.
Kwa muda mrefu sana amejitahidi kukuonesha kwamba anakufaa lakini alichoambulia ni maumivu. Hatimae moyo...
Of course, Muonekano na namna anavyojiweka kwa mwanamke ni jambo la muhimu mno, lakini jambo linalovutia zaidi sio muonekano pekee.
.
Bali, ni ule utambuzi wa kujua kwamba mwanamke huyo sio mtu wa kujirahisisha kiasi ya kwamba mtu yeyote anaweza kuwa nae.
.
Sio mwanamke ambaye yuko desparate na...
WACHEPUKAJI WENGI WANATABIA HIZI
1.Hachezi mbali na simu yake kila wakati.
2.Inbox na sending items hufutwa kila
wakati.
3.Ukimuomba simu yake ghafla lazima
akwambie hebu
kwanza.......
4. Kamwe haiiti always vaibration.
5. Namba nyingi ha save.
6. Kuna simu hapokei hata
iweje....anapenda sms...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.