Recent content by Bintyjp

  1. B

    JamiiForums Tanzania Yesu Hadi ana sulubiwa msalabani hakuwahi kujenga. Je Ina maana alikuwa anaishi wapi kabla hajaanza kazi ya ukombozi?

    Hakuna kitu ambacho kipo complicated ni wewe ndiyo tatizo mpaka unaona kuna complications Mithali 23:7 [7]Maana aonavyo nafsini mwake, ndivyo alivyo. Akuambia, Haya, kula, kunywa; Lakini moyo wake hauwi pamoja nawe.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Yesu Hadi ana sulubiwa msalabani hakuwahi kujenga. Je Ina maana alikuwa anaishi wapi kabla hajaanza kazi ya ukombozi?

    Neno la Mungu liko wazi kabisa na haina lengo la kuwaficha watu wasielewe na ukilisoma tu ulalielewa lakini unatakiwa ujue neno la Mungu lina uhai na linaishi na limewekwa limfanye kazi kwa wale tu ambao wana kiu ya kumjua Mungu ..tofauti na hivyo vitabu vingine ulivyovitaja wewe ambavyo yeyote...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Yesu Hadi ana sulubiwa msalabani hakuwahi kujenga. Je Ina maana alikuwa anaishi wapi kabla hajaanza kazi ya ukombozi?

    Hii mada yako inachekesha sana 😂 Omba Mungu akusaidie neema ya Kulielewa neno lake.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Yesu Hadi ana sulubiwa msalabani hakuwahi kujenga. Je Ina maana alikuwa anaishi wapi kabla hajaanza kazi ya ukombozi?

    Mathayo 13:10-11,13 [10]Wakaja wanafunzi, wakamwambia, Kwa nini wasema nao kwa mifano? [11]Akajibu, akawaambia, Ninyi mmejaliwa kuzijua siri za ufalme wa mbinguni, bali wao hawakujaliwa. [13]Kwa sababu hii nasema nao kwa mifano; kwa kuwa wakitazama hawaoni, na wakisikia hawasikii, wala...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini majini wanajitesa kwa kuishi kama wanadamu?

    Dunia ina mengi ila tumepewa mamlaka ya kushinda lolote linalokuja kupitia Damu ya Yesu kwa njia ya Imani 1 Yohana 5:4 [4]Kwa maana kila kitu kilichozaliwa na Mungu huushinda ulimwengu; na huku ndiko kushinda kuushindako ulimwengu, hiyo imani yetu. Kanuni ya kuishi Duniani mbona inajulikana...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini majini wanajitesa kwa kuishi kama wanadamu?

    Nimewahi kushuhudia kwa uchache sana ...lakini huwa ninaona hiyo mizimu inamsumbua mtu kama hajamjua Yesu vizuri na akaamua kumtafuta kwa bidii ila ukiijua nguvu iliyopo kwenye damu ya Yesu hiyo mizimu ni Upuuzi tu kama Upuuzi mwingine
  7. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini majini wanajitesa kwa kuishi kama wanadamu?

    Kuna mtoto unakuta anazaliwa akiwa kwenye mnyororo wa vifungo either alishatolewa kama Sadaka kwenye mizimu mfano ya mabibi na mababu zake au labda amezaliwa na dhambi ya asili ya ukoo, unakuta ukoo flani una ka mnyororo ka kutembea katika laana au vifungo kama asipopatikana mtu wa kuvunja hiyo...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Mnaoomba Mungu na anawasikiliza uwa mnatumia mbinu gani?

    Usiangalie hili kwa sababu kila mtu ana neema yake kuna mtu ana dhambi na mambo yake yanaenda na harogi hiyo ni neema ambayo Mungu alimuwekea tangu uumbaji na kuna wewe au mimi ambao tukifanya dhambi kidogo tu Mungu anatuacha .. Kuna mwingine mambo yanaenda tu hata asipotumia nguvu na kuna...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mnaoomba Mungu na anawasikiliza uwa mnatumia mbinu gani?

    Muombe Mungu toba halafu akusaidie kukuondolea uchungu ulio nao moyoni lakini pia Muombe akuunganishe na watu Sahihi na akupe neema ya kutulia katika Kanisa mmoja maana yako makanisa mengi sana lakini siyo yote yanayomuabudu Mungu wa kweli.. usipende kuingia kila kanisa na usipende kuwekewa...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Mnaoomba Mungu na anawasikiliza uwa mnatumia mbinu gani?

    Inawezekana namna unavyoomba neno la Mungu limesema kwenye kitabu cha Yakobo 4:3 Hata mwaomba hampati kwa sababu mwaomba vibaya ili mvitumie kwa tamaa zenu Ni kweli unaomba lakini je unaomba vipi? Kuomba kwa sauti kubwa au kuomba masaa mengi haimanishi ndiyo ticket ya Mungu kukusikiliza na...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Movie za mafunzo zenye maudhui ya Kikristo

    Ngoja niitafute
  12. B

    JamiiForums Tanzania Movie za mafunzo zenye maudhui ya Kikristo

    Asante
  13. B

    JamiiForums Tanzania Movie za mafunzo zenye maudhui ya Kikristo

    Hata za kimarekani
Back
Top Bottom