Recent content by bintishomvi

  1. bintishomvi

    JamiiForums Tanzania Karibuni wazee wa kutake risk na kujilipua

    Akatafute kazi
  2. bintishomvi

    JamiiForums Tanzania Karibuni wazee wa kutake risk na kujilipua

    Nina kijana anataka kwenda canada akapambanee nipeni taratibu za kukata visa Maana maajenti wanataka pesa nyingi sana
  3. bintishomvi

    JamiiForums Tanzania Tanzania na DRC ndiyo nchi zinazoongoza katika fursa ya kufanya biashara

    Bidhaa gani ya kutoka Tanzania naweza uza Congo?
  4. bintishomvi

    JamiiForums Tanzania Pata kazi uae(dubai,sharja nk) pamoja na visa consultation kwa visa za nchi mbalimbali

    Hizi number ukipiga wenyewe wanakhshangaa na kuchoka [emoji1787][emoji1787]
  5. bintishomvi

    JamiiForums Tanzania Hivi Tanzania kuna kiwanda cha kutengeneza chupa?

    Nauza chupa za serengeti, henkeni, windhoek, flying fish, Kilimanjaro nyeupe pia na chupa kubwa za wine 750ml na 330ml na aina yoyote ya Dizaini ya chupa unayoitaji karibu
  6. bintishomvi

    JamiiForums Tanzania Hivi Tanzania kuna kiwanda cha kutengeneza chupa?

    Njoo nikuuzie chupa za recycle bottles Tuwasiliane 0718202286 Kwa aneeitaji package ya wine tuonane Angalizo Chupa ni recycle
  7. bintishomvi

    JamiiForums Tanzania Hivi Tanzania kuna kiwanda cha kutengeneza chupa?

    Mie ndio biashara yangu mpaka kilometa zinasoma za kutosha niko apo Waste recycle investment
  8. bintishomvi

    JamiiForums Tanzania Kijana anapenda mpira kushinda elimu

    Namna ya kwenda ndio tatizo nauri na visa itapatikana aina shida
  9. bintishomvi

    JamiiForums Tanzania Kijana anapenda mpira kushinda elimu

    Ana miaka 20 sasa
  10. bintishomvi

    JamiiForums Tanzania Naomba connection ya vitu used kutoka Uingereza au Japani

    Uko wafrika wanapokelewa kweli
  11. bintishomvi

    JamiiForums Tanzania Kijana anapenda mpira kushinda elimu

    Achafue vipi au... ebu nipe maujnja tumsaidie kijana
  12. bintishomvi

    JamiiForums Tanzania Kijana anapenda mpira kushinda elimu

    Ndio maana plan yangu aende mbele uko akajichanganye bongo kugumu
  13. bintishomvi

    JamiiForums Tanzania Kijana anapenda mpira kushinda elimu

    Number 9
  14. bintishomvi

    JamiiForums Tanzania Kijana anapenda mpira kushinda elimu

    Naomba connection akacheze nje ya nchi apa bongo naona hakuna matumaini na umri unasogea
Back
Top Bottom