Recent content by bintidarajani

  1. B

    Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Aliyeleta hii thread ndio mchochezi. Anataka kutuaminsha kuwa Serikali inabagua Kabila Lao. Anadhani Watu wote hawa jui tabia na mambo ya Kilimanjaro ktk kuimarisha ukabila, upendeleo, wizi, ukwepaji kodi n.k. Nawasifu maana wakikaa kupanga mambo yao hawabahatishi na hawaogopi. Ndio maana sasa...
  2. B

    Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Huyu mtu anacho sema Si uongo. Wanajiita John Stephen,Andrew Michael etc. wanafanikisha hata ktk ajira ndio wame acha kabisa majina ya Masawe, Shayo, Mushi. Why ? Wanadhani Watu wamesahau walivyokuwa wanaingizana kazini kikabila . Sehemu zote muhimu walijaa wao kiupendeleo una kuta ofisi ina...
  3. B

    Kenya watatuacha zaidi. Tanzania hatuna plan

    Wavivu wa kufikiri na kuchukua hatua haraka za kujikwamua kiuchumi Mtabaki kulialia tuu na kudai haki msizozijua hapa JF. Tafuteni shughuli za kufanya deal ni zama za kale. Nenda na wakati fursa zipo mkiacha uvivu na kulialia kugawa kulalamika fanya kazi. Deal ni zama za kale.
  4. B

    Kenya watatuacha zaidi. Tanzania hatuna plan

    Tangulia Kenya ukaishi Si ndio Nchi ya mfano bora Kwako nenda umekaribishwa. Jambo usilolijua sawa na usiku wa kiza. Niko vizuri nachapa kazi. Wababaishaji kama wewe mnajulikana kazi kulalamika lakini nikikuuliza what are your development plans for this week huna majibu kazi kulialia tuu ...
  5. B

    Kenya watatuacha zaidi. Tanzania hatuna plan

    Mtanyooshwa tuu. Mlizoea kumtukana mkwere? Hii no nyingine. Mwachieni ajenge Nchi. Ndio kwanza ameanza kwa kunyoosha wezi, wala rushwa, walevi wa madaraka etc ka waeleze walio kutuma
  6. B

    Kenya watatuacha zaidi. Tanzania hatuna plan

    Kuna miradi wa umeme Vijijini, kuna miradi mikubwa ya Maji kama huna huduma hizo basi wewe Si MTZ. Watanzania wa kipato cha chini watoto watasoma bure kuanzia shule za msingi, Bara bara zimejengwa Nchi nzima, reli iko Inajengwa ya kisasa miradi ya umeme mikubwa itatufanya tuu ze umeme hadi NJE...
  7. B

    Kenya watatuacha zaidi. Tanzania hatuna plan

    Kenya is not stable politically, the country is not peaceful as you can hear a lot of alshabab attacks, the country is tribalistic, uchumi wao una favor matajiri wachache wenye umiliki wa ardhi karibu robo Tatu ya Nchi, mtu wa kawaida umiliki eka ya ardhi Nairobi ni ndoto, corruption NJE nje...
  8. B

    Kenya watatuacha zaidi. Tanzania hatuna plan

    Sera yetu ya kutofungulia madirisha na milango kwa mbu, papasi, viroboto , chawa etc ndio hii inakufanya wewe uweze kumiliki ardhi ukiwa mtu wa kawaida sana ukishindwa kupata ajira unarudi shamba kufanya kilimo Biashara. Hiyo Kenya nusu ya ardhi inamilikiwa NA tajiri mmoja sasa hao wanaoitwa...
  9. B

    Rais Magufuli amefanya jambo kuu zaidi ya Mwalimu Nyerere katika madini

    jamani bila Shaka makubaliano ya biashara ya dhahabu kati ya Barick Gold na Serikali ni mapinduzi makubwa ya kiuchumi katika dunia hii. Wenzetu wanamuona JPM as a hero hapa wachache kwa maslahi yao wanambeza . Kina Zitto na wenzake oneni aibu. Kama JPM asingedinda hata hizo mil300usd...
  10. B

    Hata wewe ungekuwa ni Nape Nnauye, ungeweweseka kama yeye

    Mi nashangaa sana kusifia Nape kajenga chama. Kama nimesahau nisahihisheni. JK aliingia madarakani kwa ushindi wa zaidi ya asilimia 80 ya kura zote mwaka 2005. Huu ni ushindi wa Mkapa na Mangula kwa kuwa wao ndio waliokuwa viongozi wa CCM kipindi hicho. JPM ameingia madarakani kwa ushindi wa...
  11. B

    Nchi ina ombwe la mada za kujadili nani anaweza kubadili hulka za mijadala?

    Ubongo wa watanzania umeota ukungu. Upeo wa kufikiri serious issues for the economic development of the nation and their families Ni mdogo. They don't have economic development strategies and priorities. Saa zote they think and engage in gossips that's all they want. Tell they to be creative and...
  12. B

    Wanaohoji uzalendo wa Tundu Lissu inabidi wayajue haya...

    Je Lowassa Yuko wapi na friends of EL wampeleke Lissu USA? Kwa nini hawajitokezi kumsaidia Lissu?
  13. B

    Viongozi wa CHADEMA acheni kiburi, kubalini makosa na iombeni radhi Serikali, hali ya Lissu si nzuri

    Wapi Acacia mje jamani Lissu mtetezi wenu anahitaji msaada wa matibabu. Watz tumchangie mwenzetu . Mungu msaidie mheshimiwa Lissu apone haraka.
  14. B

    Aeshi Hilaly (Mb-CCM): Nilitishwa na Makonda hadi sasa naogopa kwenda Dar kwa usalama wangu

    Aeshi a natafuta kick tuu. Watakuwa wametaniana huko ktk ugomvi wa madem sasa yeye anAshoka mike kutuaminisha kuwa Ni mtu muhimu sana duh?! Ama kweli hata Aeshi naye Atishwe kufa?
  15. B

    Mahakama imemhukumu aliyekuwa Mkurugenzi wa ATCL, David Mataka kifungo cha miaka 6 au faini ya milioni 35

    Ana Bahati Kesi ilianza enzi za business as usual. Vinginevyo Ilitakuwa uwe Kesi ya uhujumu uchumi. Anakaa jela. Miaka Sita na akihukumiwa miaka 6 angalau inakuwa 12 yrs. tutanyooka tuu
Back
Top Bottom