Recent content by Binti255

  1. Binti255

    JamiiForums Tanzania John Mnyika ajibu tuhuma za Tundu Lissu kuhusu rushwa, adai tuhuma zenye ushahidi kupelekwe kwenye vikao vya Kikatiba vya Chama

    Ikiwa mifumo ya ndani mibovu nani atakayeweza kuleta kesi ya panya kwa panya nani?
  2. Binti255

    JamiiForums Tanzania Toka Lissu atangaze kugombea nafasi ya uenyekiti, sasa nahitaji kadi ya CHADEMA!

    kagombee na wewe ila Mlemavu hapana aisee
  3. Binti255

    JamiiForums Tanzania Toka Lissu atangaze kugombea nafasi ya uenyekiti, sasa nahitaji kadi ya CHADEMA!

    Mwenyekiti wa Walemavu?au sijaelewa hapa
  4. Binti255

    JamiiForums Tanzania Kwa Mujibu Wa January Makamba, Marekani nchi ya kwanza kwa uzalishaji wa mafuta Duniani

    Sisi hayo hatuyataki kuyajua kabisa tunataka kujua yeye Waziri anaisaidiaje nchi kuhusu suala la kupanda kwa mafuta anajua amesababisha upandaji wa Huduma mbalimbali nchini.
  5. Binti255

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Sophia Simba ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Magavana wa Taasisi ya Ustawi wa Jamii

    Best Sophia amerejea sasa Alhamdulillah 🤌[emoji2535]
  6. Binti255

    JamiiForums Tanzania Ewe Jasusi uliyenikataza nisimtwange ngumi Paulo Makonda mbona humlindi tena?

    Nitazungumza Wakili wangu akiwa karibu nisinge kuandika mambo hapa kama kinywa cha Tunduli**
  7. Binti255

    JamiiForums Tanzania Jaji Mustapha Mohamed Siyani aliyekabidhiwa kesi ya Ugaidi ya Mbowe ni nani?

    Ni Jaji wa Mahakama Kuu ambaye anaenda kufanya finishing ya kesi ya Mbowe na wenzie. Hakika Nimefurahi sana nchi hii inaongozwa kwa sheria, haki na usawa. Hongera kwa Chadema mmepewa chaguo lenu huyo sasa tusisikie kelele haki ikitendeka na kusimamiwa na Jaji Siyani.
  8. Binti255

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuongoza Kikao cha Kamati Kuu ya CCM leo Jijini Dodoma

    Dua za kuku hizi Umeuliza kwanini walizuiliwa kufanya wakati huko Chadema wameruhusiwa kufanya?!! Au kwakuwa CCM ndio mnaiona Mbele yenu?.
  9. Binti255

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuongoza Kikao cha Kamati Kuu ya CCM leo Jijini Dodoma

    Muulize msajili wa Chama
  10. Binti255

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuongoza Kikao cha Kamati Kuu ya CCM leo Jijini Dodoma

    Tumaini la Watanzania wote na vyama vyote vya siasa lipo kwa mama yetu kipenzi, mama wa Taifa la Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan [emoji3590]‍[emoji91]
  11. Binti255

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu Kiongozi mstaafu, Dkt. Bashiru Ally unasumbuka sana. Rais Samia tarehe 30, Aprili atashinda kwa asilimia 100%

    Tupo pamoja na mama samia 100% inawezekana
  12. Binti255

    JamiiForums Tanzania Ni miujiza? Mbona viongozi hawazimii?

    Inategemea na maisha uliyoishi na wenza wako kwa madaraja yao
  13. Binti255

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari vya nje na msimamo wa Tanzania juu ya Covid-19

    [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Una Corona wewe
  14. Binti255

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lindi: Majengo ya Serikali yachomwa, magari yaharibiwa kisa Uchaguzi

    "Alipata kura 0 Prof Lipumba hahahahaha
Back
Top Bottom