Recent content by Binti wa Bongo

  1. Binti wa Bongo

    Tanzania; kituo nambari one bora cha utalii Africa 2017

    Hakuna upendeleo. Tanzania tupo juu kwa sababu tunaendesha "Utalii endelevu "Sustainable Tourism" tofauti na wenzetu Kenya wanaofanya Mass Tourism.
  2. Binti wa Bongo

    Wachina wakamatwa na Shehena ya Meno ya Tembo Bandarini Dar

    Dhahabu yetu imetuachia mashimo wazi na umasikini uliokithiri .... Hatua za haraka zisipochukuliwa, hata hizi hifadhi zilizolindwa na Mwalimu kwa nguvu zote zitabakia nyasi tuu.
  3. Binti wa Bongo

    Wachina wakamatwa na Shehena ya Meno ya Tembo Bandarini Dar

    Kasheshe na aibu kwa Taifa letu.
  4. Binti wa Bongo

    Re- introduction

    Nilianza nanyi miaka mingi kisha nikapotea kidogo hivyo naamini mimi si mgeni sana katika chombo chetu hiki ... Hata hivyo nataka kujua pa kuanzia!
Back
Top Bottom