Recent content by binti mpole

  1. B

    Biashara ya chips: Faida na Changamoto zake

    Kaka mtoa Mada ndoo moja kubwa ya viazi inatoa sahani ziliso pungua 21 inategema na upimaji ikipingua sana 19 kuwa na daftari ya manunuzi na mauzo chochote kinachonunuliwa kiandikwe na chochote kinachouzwa kiandikwe Hilo ni daftari ambalo itabidi uwe unalipitia kila jioni, na kwasababu biashara...
  2. B

    Jamani maisha magumu na kamshahara kangu nahangaika tu mtaani

    Mshahara wako wa laki 7 hautoshi kwasababu hela hiyo ni sawa sawa na matumizi Yako jaribu kutafuta kitabu cha Rich Dad poor Dad kitakupa mwanga wa wapi unakosea na niño ufanye ila mshahara wako ni mwingi sana na unakutosha
  3. B

    Mashamba ya kukodi Ruvu

    Rocky naomba nisaidie Hilo contact na Mimi
Back
Top Bottom