Recent content by binslim

  1. B

    Msichana wa kazi ya stationery anahitajika Dar Kinondoni

    TU Tuna Kwa kweli wamezingua hii appearance mpya sio rafiki kabisa, anyway namba ni 0655776145
  2. B

    Msichana wa kazi ya stationery anahitajika Dar Kinondoni

    Msichana wa kazi ya stationery anahitajika Dar Kinondoni awe na sifa zifuatazo; 1. Elimu ya kidato cha nne na kuendelea 2. Kuongea na kuandika Kiswahili na kiingereza kwa ufasaha 3. Ujuzi wa computer; Microsoft word, excel, publisher na powerpoint 4. Ajue kutumia photocopy, scanner, printer...
  3. B

    Mdada wa stationery anatafutwa

    Sawa mtafute Babu Kijana kwa 0655776145, kanikabidhi kufatilia thread hii
  4. B

    Kama nina milion 7 naweza kupata gari ya kutembelea kwenye yard za bongo

    kwenye yard au showroom nina hakika unaweza kupata, vitz au corolla pia jaribu kuangalia kwa watu amba zimeshatumika.
Back
Top Bottom