Kutumia kigezo kuwa serikali haina dini sio suluhusho la msingi, acheni jamani kujadili mambo msiyokuwa na elimu nayo hebu fanyeni uchunguzi UK,S,AFRICA, na nchi zingine ambazo watalaam wetu wa sheria walitumwa huko kuangalia utendaji wa mahakama ya kadhi mbona mnakua na khofu kubwa sana wakati...