Mvowe nafasi ambayo anaweza kuikubali ndani ya CCM labda awe PM kinyume na apo hana njaa ambayo inaweza mfanya achukue nafasi chini ya apo... Mbowe ni Tajiri tena Tajiri haswaaa
Tundu Antipass Lissu...
Maiti inayotembea...
Trust my words... Kupitia Lissu, Tanzania inaenda kuandikwa historia mpya ya mabadiriko ya kweli kwenye Reforms za ndani ya CCM, Ndani Ya Nchi na Katiba... Huyu ni mtu ambae kwa wanaomfahamu misimamo yake sio mtu wa kubadirishwa kirahisi kwa kile...
Wayemen ni km WaTaliban! Ni watu ambao maisha au anasa za dunia kwao sio kitu! Hawa Houth walipambana na serikali ya Yemeni wakisaidiwa na Nchi za Kiarabu km Saudia,UAE,Baharain, Egypt uku msaada wa Kiingelegensia ukitoka US na US wakiweka Patriot air defence system Saudia na UAE uku wahouth...
Naona LGBT wakianza kupumulia mashine... Trump na hawa mashoga ni vitu tofauti sana. Trump ni Mzee wa Sanctions lakini chini ya Sanctions zake dhidi ya Iran ndo Iran ilipojiongeza kinguvu zaidi! PM Benjamin Netanyahu anaomba Trump ashinde maana nchini Kwake Israel amekalia kuti kavu na wananchi...
Akili kibajaji hizi! Basi serikali ikishapiga marufuku ije na kwenye Bendera za Israel/ Saudiarabia kwenye biashara kadhaa....Ikitoka apo ije ipige na masanamu ya imani fulani kwenye majumba yetu maana nayo yanawakwaza watu wengine nk nk nk.... Biashara ni huru sehem X inakukwaza kwa huduma zao...
Manager alijiongeza sana....Kwanza anajua kwa hao mayahudi kukaribia ktk hiyo Hotel yake ni hatari kwa usalama wa mali yake na wateja wake wasiokua mayahudi.... Ijulikane kua mayahud popote pale duniani wanatafutwa ndo maana wengi wao wanatumia passport za nchi nyingine wanapoenda baadhi ya...
Yani waTZ mnaufinyu wa Ubongo....Hotel ni ya mtu kajenga kwa ela zake yani umpangie nini afanye kwenye biashara yake as if ni Hotel ya Serikali?.. Hivi kuandika "FREE PALESTINE" nalo ni tusi...Mbona tunajishusha akili zetu... Leo hii watoto wakipakestina zaidi ya 14,000 wameuliwa uko uyu mwenye...
Kwanza kwasasa hao mayahud ni majinga.... Sehem nyingi duniani wanapoenda wanajificha uraia wao hasa kwa kile kinachoendelea uko kwao...Nchi km France au Germany waisrael wanaficha uraia wao sembuse eneo km Zanzibar ambalo lina Waislamu wengi... Mie nisingeshangaa baada ya wao kujitanbulisha km...
Duh! kwan lile shambulizi walilofanya ni dogo? US mwenye ana kili kua km US,UK,France na Jordan wasingemsaidia kitoto chao basi lile shambulizi lingefanya uharibifu mkubwa na hivo viwanja vya majeshi yao ya ulinzi yangeharibiwa kabisa na ndege vita zote zingeka ni flying coffin! Km Ka drone tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.