Ngoja aje akuulize
wilaya
mkoa
Namba ya simu
Pamoja na maelezo yako mazuri ila Bado akija atakuuliza hayo maswali hapo juu.
Hivi Tanesco wanatuchukulia watanzania wote ni wajinga haiwezekani Kila mtu anawalalamikia wao utadhani huo umeme wanatupa bure, watanzania tuamke.
Naona TANESCO wameshatuona sisi watz ni wajinga, Sasa huu ndio wakati muafaka wa kulikataa hili shirika Kwa kuandaa maandamano nchi nzima kushinikiza hili shirika livunjwe ili yaje makampuni mbali mbali kutoa huduma ya umeme kama wanavyofanya kwenye simu
Jina: Lwitiko Mwambene
Eneo: chipaka
Wilaya: Momba
Mkoa: Songwe
0753154053
Haya taarifa zangu hizo hapo baada ya muda mtaniomba Tena. Maana tanesco Kwa usumbufu Kwa wateja mpo vizuri
Hivi tanesco mbona hii message yangu hamjibu? Mliniomba taarifa zangu nikawatumia ila mpaka Leo ni miezi 2 hamna majibu yoyote. Kama hili suala lipo nje ya uwezo wenu mseme
Ushauri mzuri kabisa kwa tanesco, inabid wabandike orodha ya wateja walioomba umeme kuondoa mazingira ya rushwa. Mi nimeomba umeme tangu mwezi wa tano mpaka Leo majibu niliyopewa Ni kuwa niendelee kusubili haijulikan mpaka lini, kila nikiulizia humu wananiomba taarifa zangu za kuomba umeme...
Mimi kwangu surveyor alikuja toka 28/04/2021 nipo ndani ya mita 45 panahitaji nguzo moja ila mpaka leo TANESCO hawataki kunipa control number, sasa sijui hizo siku 60 zinaanza kuhesabiwa kuanzia kwa surveyor au kuanzia siku uliyopewa control number.
TANESCO naombeni majibu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.