Goguryeo
JF-Expert Member
- May 17, 2019
- 2,503
- 4,502
Probably kwenye visafar vyangu vingi nimepanda bus hii sababu nilikua sitaki mwendo wa kina Saul, newforce, Aboud Bovu etcNiliamini sana Kilimanjaro bus,
Imani ilipungua tarehe 14 December mwaka jana nilipokata tiketi nipandie mbeya mjini kiti kikauzwa mara mbili, ilikuwa fedheha kubwa,
Sasa dereva kafanya yake.
Nitapanda bus ipi tena
Halafu pia napenda customer care yake tofauti na huko newforce etc .........wadada wale na some "baitsii"
sasa doh.