Recent content by binam wetu

  1. binam wetu

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Makambako huu ni upigaji, hili jengo haliwezi kugharimu Tsh Milioni 80. Kwanini mnaonesha tabia za kipigaji zinazotuchafua?

    Endeleeni kuamini hizo story sisi tutaendelea na ujenzi
  2. binam wetu

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Makambako huu ni upigaji, hili jengo haliwezi kugharimu Tsh Milioni 80. Kwanini mnaonesha tabia za kipigaji zinazotuchafua?

    Wizi wa nini uhambiwa habari ni fake picha sio halisi wizi gani sasa
  3. binam wetu

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Makambako huu ni upigaji, hili jengo haliwezi kugharimu Tsh Milioni 80. Kwanini mnaonesha tabia za kipigaji zinazotuchafua?

    Nimelazimika kuja hapa baada ya kuona huo upotoshwaji hiyo ni story ya uwongo Lengo ni kuchafua chama tu tutatolea ufafanuzi lkn pia picha hiyo inayo sambaa nikakipande ka veranda ya nyuma
  4. binam wetu

    JamiiForums Tanzania Mwanamke subiri uvuliwe, usivue mwenyewe

    Chupi zingine wao wenyewe wanazionea aibu chup kubwa km ya nand pia wengine usafi kwao ni f
  5. binam wetu

    JamiiForums Tanzania Baada ya kumshikilia Abdul Nondo kwa siku 13, DCI, IGP na AG waburutwa Kortini

    Hahahahaha wanaweza wasiende
  6. binam wetu

    JamiiForums Tanzania TRA Makambako wanaonea sana wafanyabiashara

    Kumekua na uonevu mkubwa sana pamoja na mazingira ya rushwa kubwa sana kwa maofisa wa tra makambako mkoa wa njombe.kwanza ukienda kukadiriwa unapigwa bei kubwa ambayo hailipiki nia yao uwatafute nje na ofisi wakutoe kitu kidogo Pia wengine wana watu wanaowatumia rasmi kukusanya hela ya rushwa ...
  7. binam wetu

    JamiiForums Tanzania TRA kumchunguza Askofu Kakobe baada ya kumsikia akisema ana hela kuliko Serikali

    Mtukufu haguswi Tra achen ujinga mpaka mtu ajitangaze,ndio mmfuate
  8. binam wetu

    JamiiForums Tanzania Ally Bananga: Mwanasiasa Anajengwa na Watu, Sitashiriki Mjadala wa Star Tv

    Kila mjadala lazima uwe na level flan sasa msando sio kiongozi wa kisiasa bananga nikiongo wapi na wapi Huyo msandu atafutiwe watu wasio na vyeo km yeye
  9. binam wetu

    JamiiForums Tanzania Ally Bananga: Mwanasiasa Anajengwa na Watu, Sitashiriki Mjadala wa Star Tv

    Safi sana bananga
  10. binam wetu

    JamiiForums Tanzania Naomba kufundishwa namna ya Kutongoza Mwanamke

    Fanya mazoez ya kuongea kwenye kioo kwasasa halafu kama unapiga punyeto achana nayo haraka
  11. binam wetu

    JamiiForums Tanzania Diwani wa kata ya Muriet aliyejiuzulu apewa vitisho!

    Wamchome moto yeye gari atanunua ingine mjinga sana huyo Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
  12. binam wetu

    JamiiForums Tanzania TRA waifungia Sahara Media(Star TV, RFA) kwa kudaiwa Kodi ya Sh. Bilioni 4.5

    Kodi mpaka inafika 4b hujalipa hili nalo lijiz kama majiz mengine Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
  13. binam wetu

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Prof. Palamagamba aula, Mwakyembe achukua nafasi ya Nape Nnauye

    Tutaona mengi utawala huu
Back
Top Bottom