Hakuna atakayekupigia simu kwa hayo maelezo yako, labda awe chiziii but kwa uelewa wangu ww ni kishoka na kuna vitu huvijui ndiyo maana watu wanauliza mambo ya msingi unashindwa kuwajibu..
Kwa atakayekuwa na subwoofer aina ya geepers toleo la zamaniiii,, hazitumii remote,, zilikuwa zinauzwa elfu 80 ila atakayekuwa nayo nampa 100,000/= aniambie hata sasa hivi pls.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.