mbona tuhuma za Zitto dhidi ya chadema hazijibik wakina tundu lisu wameng'ang'ana waraka, waraka ambao umeandaliwa na wajumbe wa kamat kuu halaf wakauvujisha ili kumbambikiza Zitto, Mbona mambo yapo waz jaman walioandaa waraka ni wajumbe wa kamat kuu na wamekili zitto hausik ila nyny mmemganda...
ha! ha! ha! chadema wabaguzi sana zito hausiki na waraka na wala sio msaliti kama angekuwa msaliti chama asingelifikisha hapa lilipo hao wanaomuona zito msalit ndio waliokaribishwa na zito ktk chama nyie mna yenu waraka umeandaliwa na wajumbe wa kamat kuu halaf mnambambikiza Zito hamna lolote nyie
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.