Recent content by Bin Faza

  1. Bin Faza

    Kesi ya kutaka Muungano ufutwe yaanza rasmi Zanzibar

    Mkuu Joka Kuu, haya masuala ya muungano yana siri nyingi kuliko watu wanavojuwa, hayo niliyoyandika ni ukweli mtupu, lakini ikiwa wewe unahisi kama yana maana sawa. kwa ufupi mimi binafsi sifurahii muungano na tanganyika, nahisi kuna agenda za siri zaidi kuliko ukweli unavosemwa, ukitizama...
  2. Bin Faza

    Kesi ya kutaka Muungano ufutwe yaanza rasmi Zanzibar

    Mr Ghibuu, Kwanza ninaomba samahani kwa kujibu hiki kiimeli chako cha muda mrefu uliopita, lakini nikizingatia upuuzi uliouweka imenibidi nikujibu haya 1. Tanganyika inaitegemea zanzibar katika maeneo ya Bahari, ikiwa hujui bahari yote ya tanzania ni ya mali zanzibar, ikiwa unakumbukumbu ya...
  3. Bin Faza

    Kesi ya kutaka Muungano ufutwe yaanza rasmi Zanzibar

    mtukuyu mkuu ivo tuseme ndio hujui wamba sheria ya tanganyika inakataza kuujadili uungano ndani ya vyama vya siasa tukifanya maandamano tanganyika itaumaliza, kwasababu kila katika chaguzi za nyuma wakiletea znz majeshi kutoka msumbiji kuhakikisha kwamba hatufanyi maandano na hatidai haki...
  4. Bin Faza

    Kesi ya kutaka Muungano ufutwe yaanza rasmi Zanzibar

    Jokakuu Mkuu kwa mtazamo wangu mimi, CUF = CCM = NCCR = CDM = to all Kwa muono huo mimi sijawahi kupiga kura na sitopiga kura katika umri wangu wote ...kura ya tz is not more thn waste of time , kwasababu tunapokuwa katika mabaraza fulani fulani na watu wengine wananimbia jnsi wanavoziiba...
  5. Bin Faza

    Kesi ya kutaka Muungano ufutwe yaanza rasmi Zanzibar

    Jokakuu Unadhani hiyo hoja ya kuuvunja muungano imekufa, kwa sisi waznzanzibari hata kukiwa naserikali 3 maana yake ni kwamba muungano kama tuujuwavo leo umekufa znz tutatoka vipi na muungano kma ulivo ssasa hivi....as soon as ccm ikikubali kushindwa znz, basi tayari tutang'atuka, kwa sasa as...
  6. Bin Faza

    Kesi ya kutaka Muungano ufutwe yaanza rasmi Zanzibar

    hakuna mzanziabri anayechukia mtanganyika tunachukia siasa za tanganyika, hususan wakitulamisha katik abaadhi ya mamabo fulani fulani. ukweli ni kwamba kwa muda huu CCM ni aduwi wa kwanza wa znz na wazanziabri .
  7. Bin Faza

    Kesi ya kutaka Muungano ufutwe yaanza rasmi Zanzibar

    anaomba na anasaidiwa sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, hayo mengine hayatiwi magazetini tu, katika safari yake ya Oman alisaidiwa ile mbaya, lakini ya waarabu hayasemwi tanganyika
  8. Bin Faza

    Kesi ya kutaka Muungano ufutwe yaanza rasmi Zanzibar

    Gombesugu Kwanza kabisa ndugu nitakuomba samahani sana lakini inaonekana you are full of maporojo ya mitaani kama wewe kweli ni mtu uliyesoma na mwenye akili usingeweza kuleta upumbavu kama huo haumu, i therefore conclude that you dont really know how world affairs are running the show of daily...
  9. Bin Faza

    Watanganyika hawana uraia wala nchi kwahivo ni refugees tu ndani ya tz,

    Mkuu mbona unapapara sana, uchochezi uko wapi hapo nakuomba ufikiri kwa kina zaidi utagunduwa kwamba wewe huna taifa lako na kwahivo ndio maana huna uraia wa taifa lako uraia wako a tz ni wa kubandikizwa tu along the way.....ni kama tu wale waliokwenda UK kule wakawa refugees wakapata...
  10. Bin Faza

    Waziri GANI wa KIKE amefanya kazi nzuri kwa MIAKA YOTE TANGU UHURU?

    mimi nafikiri mwamtumwa mahiza naibu waziru wa elimu awamu ya kwanza ya jk, pale wizara ya elimu kaondosha ukabila kule, yaani kuna sehemu huko zilikuwa zimetawaliwa na kabila moja tu
  11. Bin Faza

    Muundo wa Muungano: Tanganyika tunataka 'Serikali moja, nchi moja, taifa moja'!

    nakubaliana na wewe mkuu robert josephat lakini nchi iwe kama ifuatavo JINA : ZANZIBAR CAPITAL CITY: ZANZIBAR TOWN AGREEMENT: MUST BE 100 YEARS MINISTERS: 50/50 TANGANYIKA/ZANZIBAR F. EMBASSIES: MUST BE IN ZANZIBAR ALL GOVERNMENTAL INSTITUTIONS: HQ IN ZANZIBAR CENTRAL...
  12. Bin Faza

    Kesi ya kutaka Muungano ufutwe yaanza rasmi Zanzibar

    duchi Yes, U are right Indeed, kwamba tunatarajia kupata manufaa kutoka kwa nchi za kiarabu. and what is your problem sisi tukiwa hizbu? tumekaa na nyinyi watanganyika kwa miaka 50, hatukupata zaidi ya umasikini na ufukara Ni heri kuwategemea waarbu wenye mali ili tuweze kuinuka...
  13. Bin Faza

    Rais wetu 2015+ ni huyu hapa!

    Napita njia tu Inamaana hakutakuwa na raisi mpya 2015? Kwani mtu mumtafutae hayupo tz,
  14. Bin Faza

    Watanganyika hawana uraia wala nchi kwahivo ni refugees tu ndani ya tz,

    Wana JF Roho inauma na mawzo kichwa tele, kuna mawingu ya giza na kujawa na magharibi ya moyo, ni hunzuni na masikitisho makubwa kuona binadamu anadhalilishwa kisaikolojia ndani ya nchi yake leo taifa zima la Tanganyika limefanywa refugee katika nchi yao bila kujijuwa, hili linaleta ni aibu...
  15. Bin Faza

    Nyerere na dhulma kwa Zanzibar

    Andrew Nyerere Mwinyi hakuwa raisi wa tanganyika, alikuwa raisi wa tz, ni tatizo lenu kuwa hamuna nchi yenu kwahivo hamuna raisi wenu kwa ufupi mtanganyika hawezi kuwa raisi au waziri znz, na mznz hawezi kuwa raisi au waziri tanganyika siku mutakayoifufuwa nchi yenu leo nyinyi watanganyika...
Back
Top Bottom