Recent content by Bin Eifan

  1. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shairi: Poleni Watanzania

    Shairi langu natunga, kuwapa pole raia, Na nyinyi tunajiunga, sote huku tunalia, Kukumbwa na hili janga, pole kwa zao familia, Poleni wa Tanzania, ajali haina kinga. Ajali haina kinga, poleni wa Tanzania, Wamejitoa mhanga, masikini abiria, Haraka bila kuchunga, Kivuko kukivamia, Poleni wa...
  2. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shairi: Kwanza kaleta ndege, sasa meli

    Hotuba yake ya Mwanza, ya Raisi Magufuli, Ndege ameleta kwanza, sasa ataleta meli, Hakujali kila kinza, Raisi katawakali, Kwanza ndege sasa meli, Raisi twampongeza. Raisi twampongeza, daima kwenye shughuli. Nchi ameiangaza, tunaona hadi mbali, Jua limeshachomoza, mwangaza kila mahali, Kwanza...
  3. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shairi: Nimeachiwa machela...

    Assalaam Alaykum, Mimi ni mgeni katika jamiiforums. Nilijiunga majuzi. Nilifurahi sana kuona wadau wa mashairi na mimi pia napenda mashairi na pia ni mshairi. Shairi hilo la Machela nalikumbuka vizuri sana na pale alipohojiwa redioni kuhusu shairi hili. Watunzi wa zamani bado tunawakumbuka...
Back
Top Bottom