Recent content by Bin ammi

  1. B

    JamiiForums Nina Mshituko wa moyo mara kwa mara ambao nimeupata baada ya dalili za Corona kuisha

    Poa Sent using Jamii Forums mobile app
  2. B

    JamiiForums Vipimo vinaonesha sitoweza kuzaa, kama kuna msaada tafadhali

    Mbona ufiche ushauri,labda utasaidia wengine pia. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. B

    JamiiForums Kwa dalili hizi, hii ndiyo Covid19 au ni hofu tu inanisumbua?

    Fuata ushauri wa ramo Sent using Jamii Forums mobile app
  4. B

    JamiiForums Kwa dalili hizi, hii ndiyo Covid19 au ni hofu tu inanisumbua?

    Gwajima, mbele ya afya ya Mtu hakutaki mzaha,mwenzako anaumwa anauliza msaada we unatia mzaha, Corona haiui, wengi wanapona,na wengi hawaonyeshi dalili na wanapona Tu bila kujuwa, Kwa sababu immunity Yao ni kubwa Hapa tunaelimishana. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. B

    JamiiForums Kwa dalili hizi, hii ndiyo Covid19 au ni hofu tu inanisumbua?

    Hiyo ndio dawa, lakini endelea na shughuli zako za mazoezi, ondowa wasiwasi,jitenge na watu, vuta pumzi ukiitowa Kwa nguvu kufunguwa kifuwa. Nimesoma artical nyingi Sana za ushuhuda, wengi wanasema mchana vile uko na shughuli nyingi mambo huwa Sawa. Lkn ikifikia usiku Rena ule WA manane,ndipo...
  6. B

    JamiiForums Nina Mshituko wa moyo mara kwa mara ambao nimeupata baada ya dalili za Corona kuisha

    Upungufu wa oxygen kwenye damu ndio husababisha moyo kushtuka,na unasababishwa na pressure, jitenge na watu, fuata huo ushauri nimeandika hapo. Endelea kutumia vyakula vya vitamin C, kama malimau, machungwa, parachichi, ndimu.maembe mabichi, Virusi vya Corona alkaline levol yake ni pH 5.5 mpaka...
  7. B

    JamiiForums Nina Mshituko wa moyo mara kwa mara ambao nimeupata baada ya dalili za Corona kuisha

    Ushauri wangu, nenda kapime pressure, pili huwo moyo kushtuka utaisha ukitumia dawa za pressure,kawaida moyo husukuma damu kutembea mwilini,na Ile damu yahitaji oxygen kupata hewa ili ienee sehemu zote za mwili, sasa kama kuna mgando wa mishipa yaani colestrol, Ile mishipa huwa imejaa mafuta...
  8. B

    JamiiForums Wewe na familia yako mnachukua hatua gani kupambana na janga hili la corona?

    Shukran Kwa experience yako, kwakuwa kuna wengi pembeni wamesoma hiyo arrival yako na wanapenda kupata hiyo supliment, wataipata wapi? Shukran Sent using Jamii Forums mobile app
  9. B

    JamiiForums Napata maumivu ya kichwa kutokana na viuvimbe fulani sikioni

    Pole Kaka lkn hatuwa ya Kwanza tafuta mtaalamu wa kupiga pembe,(cupping) baadae tafuta mtabibu wa dawa za baridi, akukande mishipa na dawa za suna za kunywa Kwa uji.aikande hiyo mishipa ya kichwani na hiyo mifuro mpaka iishe kabisa, ndipo damu iweze kutembea vizuri kichwani, baadae upimwe na...
  10. B

    JamiiForums Good to know Cardiac Arrest

    Hebu pia jaribu kufuata huu ushauri wa fasiliteta, Kwani hata Una kiwango cha matumaini, na fanya mazoezi. Lakini pia usitosheke na vipimo vya Kwanza vya presha, tafuta mtaalamu mwengine akupime. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. B

    JamiiForums Good to know Cardiac Arrest

    Dada kitunguu saumu usitumie Kwa wingi namna hiyo,utajimaliza, punje moja yatosha Tu, tena unaweka Kwa mboga angalau itoke makali. Na upimwe presha hiyo ni dalili ya presha. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. B

    JamiiForums Usidharau vya asili vinatibu

    Shukran boss, naunga mkono hoja yako,lkn ulitumia neno(ukapata nafuu kidogo) inamaanisja nini? Yaani; hujapona kabisa au tujueje? Lkn huwo mchanganyiko ni dawa mujar'rabu, Mimi huwa nakutumia Sana nikipata taifoid, na ukweli inanipoza kabisa, na kumbuka vile taifoid ilivyo sugu kupona lkn Kwa...
  13. B

    JamiiForums Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Your are not serious
  14. B

    JamiiForums, JamiiForums Kenya Kenya yashinda kombe la Afrika kwenye mpira wa wavu baina ya kina dada

    Good; Hilo jina Linafanana nao, lkn game ilikuwa tafu.
Back
Top Bottom