Wewe na familia yako mnachukua hatua gani kupambana na janga hili la corona?

Maya Angelou

JF-Expert Member
Oct 19, 2019
305
500
.
 

Attachments

 • Adjustments.JPG
  File size
  309.7 KB
  Views
  0
 • Adjustments.JPG
  File size
  339.8 KB
  Views
  0

mwengeso

JF-Expert Member
Nov 27, 2014
7,893
2,000
Week mbili zilizopita mama mzazi alianza kupata homa kali na baadae akalalamika mbavu kumuuma na kifua kubana usiku hawezi kulala anasema godoro lina mbana,hakua akikohoa au mafua.Binafsi niliogopa hata kuwaza kama ni corona hata ndugu zangu wengine hivyo hivyo.

Ikumbukwe tahadhari zote kama kuvaa mask kuwa na sanitizers na kutulia nyumbani tulijitahidi kuzifata kabla hata ya serikali kutoa tamko.Tuliamua kumpeleka muhimbili afanye vipimo na kwenye mapafu alikutwa dalili kama za pneumonia alipewa dawa(anti-biotics)na kurudi nyumbani.Baada ya kutumia siku tatu za kwanza hali ilikuwa shwari lakini baadae hali ilibadilika na kwakweli kwa hali ya karantini tuliamua augulie nyumbanikama siri yetu.Hatuna uhakika kama ni corona ila hali ilikuwa mbaya kwakweli.Kuna mtu aka recommend kutumia hii supplement

1.100% shell broken hence easier to absorb and 45% easier to absorb 2. Improve physical health 3. Boost the immune system 4 Reduce side effects from chemotherapy e.g. hair loss 5. Raise appetite 6. Improve blood circulation to the colony artery 7. Prevent atherosclerosis and heart problems 8. Balance blood sugar level 9. Cure neural system problems 10. Endocrine system 11. Respiratory system 12. Locomotory (White blood cell multiplication) 13 Anti - tumor 14. Improve skin conditions 15. Good for allergy due to lanostan which blocks histamme 16. Anti- inflammatory 17.

Protects the liver and normalize the liver 18. Strong ant-viral, anti- parasite, 19. Strong anti-viral, anti-parasite, anti-fungal and anti- bacterial 20. Lowers blood pressure 21. Lowers blood sugar 22. Strong anti-oxidant 23. Fights insomnia 24. Good for fatigue 25 Enhance metabolism 26. Raises CD4 counts in the blood thus very good for HTV/AIDS 27. Anti-diabetics 28. Clears blood clots 29. Detoxifies the blood 30. It is analgesic relieves pain
View attachment 1436167 View attachment 1436168

Kwanza hali yake imekuwa vizuri sana kwa sasa ameinuka na anaendelea vizuri
Pili tunatumia njia ya kujifusha am not sure kama hii nayo imesaidia au la?
Tatu maji moto yaliyo changanywa na malimao,tangawizi,mchaichai na karafuu

Experience yako nini unafanya wewe na familia yako kupambana na janga hili?
Tangu kuibuka kwa COVID-19 wamejitokeza wataalamu na waganga wa kila aina. Wewe ni mmpja wa hao ila ushauri wako ni la kibiashara zaidi.

Njia ya uhakika, bora, isiyokuwa na gharama kujikinga dhidi ya maambukizi JITAMBUE, JIKUBALI, JIANDAE, umkinge na wapendwa wako.
 

Maya Angelou

JF-Expert Member
Oct 19, 2019
305
500
Tangu kuibuka kwa COVID-19 wamejitokeza wataalamu na waganga wa kila aina. Wewe ni mmpja wa hao ila ushauri wako ni la kibiashara zaidi.

Njia ya uhakika, bora, isiyokuwa na gharama kujikinga dhidi ya maambukizi JITAMBUE, JIKUBALI, JIANDAE, umkinge na wapendwa wako.

Oho sawa sioni tatizo ukiamini hivyo mkuu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom