Recent content by Bin Ahmed

  1. B

    Hili la wazanzibari kuchoma baa limekaaje?

    Hivi tuwaulize jamani, kuna dini ya kweli inayotetea ulevi na ufedhuli, hakuna zaidi ya dini ya uislamu- UISLAMU UNACHUKIA MAOVU NA UNAAMRISHA MEMA TU.... sisi wanzanzibari kama jamii ya kiislamu tuna haki zaidi ya kutunza mila na silka za jamii pamoja na kuheshimu tamaduni zetu UKIWEMO UISLAMU...
  2. B

    Hotuba Ya JK: Tafsiri Yangu

    Huu ni uzushi na chuki dhidi ya ukweli wa mambo.
  3. B

    Hotuba Ya JK: Tafsiri Yangu

    Huu ndiyo uungwana, Mtu sifa yake hupewa. wacheni kudhihaki mtu anaposema kweli na kuwa na nia ya dhati ya kuendeleza taifa letu. Hongera muheshimiwa, watu makini huwa wanasoma alama za nyakati kam ulivyosema.
  4. B

    Katiba sifuri ya CUF kuvunja Muungano na kuitambua Tanganyika

    Nafikiri huko sahihi wacha mawazo mgando. ZANZIBAR NI NCHI SIO KAMA UKEREWE. Mkuu wenyewe tupo macho na ni makini. Upo!
  5. B

    Bila Kutekeleza Matakwa ya Waislamu Hakuna Katiba Mpya

    Mh! Nadhani hustahiki kumsemea mtu asiyekuhusu. fikiri kbla ya kusema kwanza.
Back
Top Bottom