SABABU ZA RWANDA KUTOKUONGEA NA FDLR
1.Ni Genociders
2.Ni waasi wasio kua na nguvu yoyote.
3.Hawana uwezo wa kukamata hata cm 1 ya aridhi ya rwanda
4.waliishapewa karibu rwanda na wengi waliweka silaha chini wanaishi raha mstarehe.
kwa hiyo hakuna haja ya kuongea nao,kuongea nao nikuwapa nafasi...
jMali
mimi sina haja yakusoma huu utumbo kwani umevuruga hapo mwanzoni,eti FDLR ni masalia ya jeshi halali la rwanda!kama ni hivyo kati ya jeshi lililo jiengua kutoka jeshi halali la congo kama M23 na FDLR iliyofukuzwa kutoka rwanda kutokana na mauaji waliyofanyia watusi nilipi halali hapo???
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.