Beldin insurance consultants is seeking to recruit 4 sales ladies on commision basis to sell our products nationwide. the person should be smart , inteligent and outgoing. should be 18 years and above , working experiance in relevant field shall be an added advantage
please send your CV to...
hi,
beldin insurance consultants tunatangaza nafasi ya ajira kwa kijana wa kike mjini dar es salaam.
sifa.. awe amemaliza kidato cha nne , na analijua jiji vizuri...
tuma ombi kwa leeshaa71@gmail.com
jamani duniani kuna watu wawili tu. wakwanza huona matatizo kwa kila anachokutana nalo, watu kama hawa huishia kulalamika, kunungunika na kati ya yote huishia kuwa wachawi, mtu wa pili kila jambo analokutana nalo huona faida hata katika shida , wao utafuta sababu hata kidogo tu nzuri kwa kila...
Hi
Tunatafuta vijana watatu wanaojiamini, kuuza bidhaa za bima ya afya hapa Tanzania. Tupo jengo la makumbusho complex ghorofa ya tatu.
Wawe na sifa zifuatazo.
- Kidato cha nne na kuendelea
- Mtanashati
- Ana uwezo wa kujieleza
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.