habari wakuu,naomba msaada kwa mwenye kujua wapi naweza kupata mkopo kwa dhamana ya nyumba isiyo na hati.Kwa yoyote mwenye ufahamu tujuzane wakuu.Sijaajiriwa so plz lieleweke hilo.
Inauzwa mashine ya kuchomea aina ya CEM SV-260.
imetumika lakini bado iko kwenye hali nzuri sana
Bei ni mil 1.5
Iko Dar
njoo 0763969066
ziko storage nafasi ni finyu sikupata uwezo wa kupiga picha vizuri.
nauza mashine ya kusaga na kukoboa nafaka aina ya deer kutoka India.
unauziwa mashine ikiwa na mota zake pamoja na control boxes na switches na waya za kutoka kwenye mota kwenda kwenye control boxes na switches
mota zake ni made in german na moja ni ya hp 50 na nyingine ni hp 30 na zote ni nzima...
Habari wadau, nauza mota zangu 2 za hp 3 kila moja.Mota zote ni nzima kabisa na hazina shida yoyote.Ni za phase 3.
Zote ni made in germany na zinauwezo kutumika kwenye phase 3.Bei ni laki 3 kila moja.Angalia picha.Kama unazihitaji njoo 0688901124
Habari wanajamvi....naomba msaada kujua wapi ninaweza nikauza silver maana nimejaribu kuzurura posta ila wote wananiambia hawanunui silver.Yoyote anaejua wapi wananunua silver naomba anisaidie.
Kama yupo humu anaehitaji anicheki 0763969066
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.