Recent content by billioner

  1. billioner

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama una date msichana wa Kichaga, kuna ujumbe wako hapa

    Mkuu …naunga mkono hoja ,mwanamke wakichaga si wakuoa mkuu na jamii kwa ujumla ,Kwao pesa mbele kama tai na ni kweli wanaua ukifanikiwa nauzoefu nao , ni wazuri wa nje lakini mkuu usije ukaweka neno ndoa kwao we piga pita ivi
  2. billioner

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vijana tupo kwenye kizazi kigumu sana

    We utakuwa ni upinde mkuu sema tuishi nao kwa akili. Hawo wasomi na wakubwa ujui behind their scene mkuu
  3. billioner

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yule ambaye hamkuoana japo mlipendana. Ukimkumbuka unafanyaje?

    Its an history nothing more
  4. billioner

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Love story of short broke black man

    Kwanza :hiyo idadi ni chache sana mkuu 2:we ni domo zege ,tongoza 3: acha nyeto 4:hawo unaowaona sio level zako ndo level zako zako 5:afu mwanaume jikubali(kuwa na self esteem) 6:weka malengo ako alafu tafuta sana hela 7:tumia condom
  5. billioner

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna tatizo kuoa mwanamke mwenye mtoto?

    Mkuu nishawahi kupitia wakati kama uwo ila mzee wangu,alinikalisha nakuniambia ‘mwanangu mwanamke mzuri huwa haachwi ukiona pesa njiani watu wanakwepa jua ni pesa ya kafara “ nilimuelewa nakumtii badae nikuja pata tena mwanamke bikra mkuu. Kwaiyo tumia kichwa cha juu wewe ni mwanaume...
  6. billioner

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke akikuuliza unafanya kazi gani mnachomoka vipi huu mtego?

    Mimi huwa najibu mtengeneza majeneza nakuweka vionjo ila saivi biashara ngumu [emoji23][emoji23][emoji23]
  7. billioner

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tunajidanganya wanaume kuhusu wanawake mabikra

    Sina mengi ila kikubwa ni kwamba nilioa at late 20’s mwanamke wangu nilimkuta bikra tena nilikutana naye leo kesho nikaweka geto,kuja kukuta ni sealed ila sijawahi kutoa bikra so ya kwanza ni kwa wife.lakini kikubwa ni kumtanguliza mungu kwa kila jambo maana mi kwenye mahusiano sina historia...
  8. billioner

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vijana oeni wanawake wanaowapenda, pesa zako sio chochote ndani ya mapenzi na ndoa

    Ila kaa ukijua kuwa binadamu ajawahi kuupenda udhaifu(umaskini) ,vijana tafuteni hela
  9. billioner

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Cannabis sativa...

    Bangi ipewe heshima yake ,imenifanya nifike apa nilipo [emoji39][emoji3590][emoji3577].!
  10. billioner

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usijaribu kuchumbia, kuoa nyumba ya washirikina

    Nicheki DM mkuuu
  11. billioner

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Naomba wa moshi mkuu
  12. billioner

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada Wenye shepu na sura nzuri, ila wanaishi maisha magumu, najiuliza wana boyfriends wa aina gani?

    Mtoa mada, jaribu kutumia akili zaidi na si hisia ,mahusiano si chanzo cha ajira wala kipato ,mahusiano ni kusaidina . Nikuulize swali na je wale ambao wenye boyfriend vilema au mahispitalini wasiwe kwenye mahusiano kisa awawezi kuwa hudumia. ?
  13. billioner

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, ulishawahi kulazimisha mpenzi au rafiki aendelee kubaki maishani mwako?

    I still need time to heal ,maana kwa sasa sina hisia ya mapenzi ila na hamu ya ngono[emoji174],sipendi kuwa ivo ila sina jinsi.
  14. billioner

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bora kuolewa na mzee aliyejipanga kimaisha kuliko kuolewa na kijana maskini mwenzio

    Kijana wa ke au me ,utajiri uanzia akilini na ukiona mtu hana mawazo positive katika maisha yake uyo ni maskini tosha
  15. billioner

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tusimulie love story yako kwa kifupi tujifunze

    [emoji848][emoji848][emoji848] tatizo kwangu mapenzi nimeyaweka priority ndogo sana, niko zaid kutafuta hela bcoz historia yangu, ya mapenzi ni worst kwaiyo nikukumbuka ni maumivu tu[emoji174][emoji29]! so I don’t need love i need more money kwa sasa .!
Back
Top Bottom