Recent content by Billionea

  1. B

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Uchukuzi atoa ufafanuzi kuhusu ndege mpya na ujenzi wa reli ya Dar-Mwanza

    watanzania na sisi hatutaki kuvishughulisha vichwa vyetu eeeenh hivi tunawezaje kufananisha vitu visivyo fanana kiuwezo? hivi ukubwa wa injini uko sawa mpaka tuseme 3.7 na 1.7 au idadi ya abiria na mizigo tuambiwe kwanza
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa hot deal right location

    Kiwanja kinauzwa kipo Mbezi ya Kimara 2km toka mbezi mwisho. ukubwa ni 1600sqr meter au mita 40 kwa 40 karibu wasiliana na 0655103636 au 0713927527
  3. B

    JamiiForums Tanzania KIWANJA KINAUZWA HOT DEAL.

    Kiwanja kinauzwa kipo Mbezi ya kimara 2km toka mbezi mwisho , ukubwa 1600sqr Meter. Piga simu 0655103636 au 0713927527
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini wana CCM hawashabikii suala la kubaki Mita 200 kulinda kura?

    Vijana wenye mihemko wako 57% yaani zaidi ya watu milion 11 watalinda kura zao je polisi 47000 watatosha kuwapa chamoto?
  5. B

    JamiiForums Tanzania Maneno Machache ya Jaji Mutungi kuelekea Uchaguzi Mkuu, azungumzia suala la Kulinda Kura

    Idadi ya vituo ni 65000 na polisi ni 47000 je watatosha kuwakabili watanzania zaidi ya milioni ishirini au wanataka kuwa chanzo cha vurugu?
  6. B

    JamiiForums Tanzania Simbachawene: Mitambo ya kuchakata umeme wa gesi sio ya serikali ni mali ya mtu binafsi

    Kama huelewi kitu ni bora kunyamaza kuliko kuchangia pumba. Hufuatilii hata nini kinaendelea nchini kwako alafu unachangia maada? Hujui kwamba Tanzania ilikopa uchina kujenga bomba la gesi trilion kadhaa kipindi cha muhongo ? Acha uzumbukuku
  7. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya Magufuli

    Ni zuzu pekee anaeweza kuamini haya hata akitenga 80% ya bajeti kwa miaka 5 hawezi. arudishe kwanza hela za samaki na alizosema mkaguzi mkuu wa serikali CAG ndo atoe ahadi mpya
  8. B

    JamiiForums Tanzania Dalili zote zinaonesha ni Lowassa

    Kama Lowasa ni mgonjwa mpe mkeo uone
  9. B

    JamiiForums Tanzania GE2015 Magufuli lugha za Kimataifa ni Kizungumkuti, wenye ufahamu tujadiliane

    Kwani wajapani walisoma kwa kiingereza hiyo elimu yao? Poor reasoning huyu kiingereza ndo lugha aliyoisomea digrii zote 3
  10. B

    JamiiForums Tanzania GE2015 Magufuli lugha za Kimataifa ni Kizungumkuti, wenye ufahamu tujadiliane

    Mdahalo wa Wagombea Uendeshe kwa Kiingereza tutajua hatma yetu mbeleni, Maana ndo nagundua sasa kwanini kila mara wakandarasi wamekuwa wakilipwa penalt na fine mbalimbali kwenye mikataba ya kandarasi mbalimbali chini ya magufuli
  11. B

    JamiiForums Tanzania Imegundulika: Video clip mlizomzushia Dr. Slaa ni uongo mtakatifu

    Najiuliza dr anaposema jangwani watu walisombwa na maroli hivi alifikiri kwanza kabla ya kuropoka? ni malori mangapi yalisomba wake watu na mtaani yasionekane yakipita ?
  12. B

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Right thing at the wrong time, it will change nothing
  13. B

    JamiiForums Tanzania Sitta Ataka Mdahalo na Lowassa Kuhusu RICHMOND; Asisitiza Kuwa Lowassa ni Fisadi!

    Sitta nae anajiita msafi kumnyooshea kidole lowasa of all the people na wewe sitta ? Unakumbuka ufisadi wako ndani ya bunge na ukarabati wa nyumba ya speaker na ukakataa kutoka mle? Unakumbu kile choo chako kiligharimu shilingi ngapi ? Ni sawa na madawati mangapi ? Unakumbuka yule mwimbaji mke...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Mungai amlipua Lowassa kwa propaganda anazofanya

    NAOMBA KUJIBIWA MAMBO MATATU TU. 1. KIPINDUPINDU KIMEWASHISHA MIAKA 50 YA UHURU NDANI YA MAKAO MAKUU YA NCHA BADO MNATAKA TUWAAMNI BADO KUWAPA NCHI? 2. MMESHINDWA HATA KUWAJALI SEKTA NDO YA ELIMU MIAKA YOTE 50 NA SASA WANAGOMA KWANINI MMESHINDWA KIPINDI MNATAKA TUWAAMINI KATIKA KIPINDI KIJACHO...
  15. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kunyonya/kulamba tupu husababisha laana?

    Muulize Amani Misana wa Times FM
Back
Top Bottom