Wakuu, naomba msaada wa kufahamu mambo yafuatayo kuhusu Subaru yenye engine ya EJ20 Non-Turbo:
EJ20 Non-Turbo ilizalishwa hadi mwaka gani?
Ni mwaka gani Subaru walianza kutumia CVT kwenye EJ20 Non-Turbo?
Lengo langu ni kununua Subaru ya mwaka 2010 yenye EJ20 Non-Turbo, hivyo nataka kufahamu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.