Recent content by Billionaire handsome

  1. B

    Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    Baba kanituma lazima wawepo, Mjini mipango hapa bongo toa Hela upate Hela zaidi
  2. B

    Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    I dont think so! May be November
  3. B

    Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    Hongereni wote mliochaguliwa Mkitoka huko muwe watenda haki msiwe wababe, tunawasubiri uchaguzi mwakani mtulindie kura zetu! Kama umechaguliwa anza zoezi mapema kimbia 14km daily
  4. B

    Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    Anaenda kupigwa hiyo 4m ajiandae kulia
  5. B

    Kwa Milioni 200 naweza pata kiwanja cha biashara Morogoro mjini?

    Njoo Dm nikuunganishe na Dalali makini! Kama upo serious
  6. B

    Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    Kule CCP tukiitwa tutaenda hivyo hivyo na tutatoboa tu Mungu yupo
  7. B

    Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    Hizo hizo kuna watu wamezima wamebebwa na machela sasa imagine zingekuwa za kasi watu wasingetoboa
  8. B

    Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    Njaa i liyonifanya niombe hii kazi ndio njaa hiyohiyo itanipandisha hivyo vilima Mzee! Haina kufeli
  9. B

    Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    Afande Revokatus yuko poa sana Mcheshi hana baya mfikishie salama vijana wa Tehama tunamkubali sana
  10. B

    Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    Sio poa mzee yani nilikata moto kiasi kwamba wangeongeza round 1 tuu mimi ningeaga mashindano
  11. B

    Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    Ambao hamjakimbia niwatoe hofu msiogope kabisa mnakimbia kwa makundi halafu sio mambio ya riadha ya kushindana, ni jogging na hakuna mashindano
  12. B

    Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    Nilikuwepo Tehama hapo kundibla kwanza tumekiwasha sana mpaka afande akasahau kuhesabu round tukajikuta tunaenda zaidi ya 10 badala ya 7
  13. B

    Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    Aaah kubabake haya mavuzi sinyoi.. UBAYA UBWELA HALAFU SICHEKI KAUZU ZAIDI YA DAGAA
  14. B

    Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    Hukusimamisha mb*ro? Nasikia wanakagua kinyeo kama Manula yupo
Back
Top Bottom