Hongereni sana ndugu wiston Mogha..
Kwa mipango mikakati imara na yenye kutoa taswira njema zaidi juu ya kesho kwa wakazi wa kigoma kupitia good implementation mechanism..
Kilichopo sasa ni CCM na matawi yake..upinzani wa kweli bado haujazaliwa,wanaojiita wapinzani ni kutokana na kutafuta fursa na sio dhamira ya kweli ya kuwa tumikia waTanzania,na ndio maana wanaojiita wapinzani wametokana na CCM,
"Rejected"
Wewe mtu acha kukurupuka ..una uhakika kuwa nafasi hiyo anapewa kujitetea..??usiwalishe watu matango poli...
Bila shaka psychological point of view we nimiongoni mwa waathirika na una mgogoro wa nafsi juu ya hili..pole sana
Mh:Zito ni kisiki cha mpingo...wananchi wa leo kipaumbele chao ni uwezo na utashi wa mtu na sio chama tena,kwani hali halisi ya figisu figisu kama TFF...imekuwa ikionekana ndani ya wanaojiita eti wapinzani...chakushangaza ndani mwao ni mwiko!!!
Hapa wala hatuitaji kupiga lamli ili kufaham...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.