Recent content by Billen

  1. B

    Maprofesa wa kunena wakijibiwa kwa sinema na mapichapichaa

    Maprofesa wa kunena : Hawa ni wananchi wengi, baada ya kushiba ugali hata aliyesoma memkwa atampomkandia professa flani kama ni zero brain. kisa nini ni chama flani anaeyewaona ni wachezaji wazuri wa filamu za kitapeli. umkute sasa huyo proffesa anaheshimika hapo mtaani au kijiweni kwa ajili...
  2. B

    Safari zisizosahaulika

    imagine tu mtu hana nauli ya kurudi tu kwake akitokea posta ama gerezani jinsibanavyo haha halafu kuna wengine wanasafiri mkoa to mkoa hana kitu unaonaje?? hapo ndo ile kauli ya mguu uliotoka umebarikiwa inapofanya kazi
  3. B

    Safari zisizosahaulika

    boss nimeshapoa kuhusu uandishi mimi c mzuri sana, maana hizo fani zina wenyewe. cha muhimu hapo nikushare na wenzangu mawili matatu. mana waha wanasema "umugabho afa agenda" ulakoze chane
  4. B

    Safari zisizosahaulika

    Habari za jioni wana forum. leo ningependa tusimuliane machache kuhusu safari na ugumu wake. kuna mwaka nilienda katika harakati za kutafuta rizki mkoani hapo. Nilienda lkn mambo hayakuwa kama nilivyoyatarajia basi nikawa nipo kwenye process za kurudi mjini.siunajua ile kauli ya mgeni njoo...
Back
Top Bottom