Recent content by BILL MPAMBANAJI

  1. BILL MPAMBANAJI

    Nimezaa na mke wa mtu watoto wawili na ana mimba ya tatu

    Unaonekana jeuri na mjuaji,rudia tena et wanao wanajuaje? Eti una uhakika wa kula na kunywa ad kufa,bro wewe ni mwanaume au mvulana? .Tuliona wengi waliokua na uwezo wa kuenda kulala dubai na kurudi kazini dar asubuhi ,saivj wakowapi? .kama hujipendi ,dhubutu kuvuruga familia ya huyo buana uone...
  2. BILL MPAMBANAJI

    POMBE ‘Ganzi yenye maumivu’ (Safari yangu ya kuacha pombe)

    Uloyasema yote ni kweli.binafsi nilihangaika na pombe sana nkatumia madawa za kienyeji za kuacha pombe zenye garama lakini sikufanikiwa.kuna siku nimetoka dar ad karatu kwa mganga lakini bado sikufanikiwa.nilibakiwa na wazo moja tu KUJINYONGA ,Nilipokua nasubiri siku nijinyonge nlikutana na...
  3. BILL MPAMBANAJI

    Kama una mtaji fanya biashara ya Mbuzi, utakuja kunishukuru

    Ningependa kufahamu kama ulianza hii biashara boss
  4. BILL MPAMBANAJI

    Kama una mtaji fanya biashara ya Mbuzi, utakuja kunishukuru

    Je ulifanikiwa ndugu unipe na mimi connection
  5. BILL MPAMBANAJI

    Kama una mtaji fanya biashara ya Mbuzi, utakuja kunishukuru

    Shida ilikua nini na mtaji alikua nayo ndefu tu?
  6. BILL MPAMBANAJI

    Kama una mtaji fanya biashara ya Mbuzi, utakuja kunishukuru

    Nipotayari ndugu.naomba namba yako.yangu ni 0763461209.popote inatiki wosap nk
Back
Top Bottom