Recent content by Bilinzozi

  1. Bilinzozi

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo bukoba manispaa nije Dar, pwani..Sekondari Kiswahili na history
  2. Bilinzozi

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Chagua server ya Seychelles ndio inakubali...ya UK haikubal hata kidogo
  3. Bilinzozi

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Du kumbe watu moto kiasi hicho...hio ndio sifa ya MTZ ni bingwa wa copy paste... For me it is okey as long as hawamchafui mtu...wamepunguza competition ya watu 150 ya kwanza,, so wameamua kujiongeza waanze kupata solid knowledge from other source. Let them go.....Wahenga walisema mtoto akililia...
  4. Bilinzozi

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Kwa wale mnataka kucheck review za brocker link hio hapo itawasaiadia......Unbiased Forex Broker Reviews | Forex Scam & Best Forex Broker
  5. Bilinzozi

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Nahisi tanzania kuna mbegu ukipanda inaota treni si bure
  6. Bilinzozi

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Kuna tofauti kati kusoma na kuelewa(understanding)..wengi wetu tunasoma haraka ili kumaliza bila kujali deep understanding of the concepts and ideas...nimegundua hii bussines inahitaji uelewa wa hali ya juu sio kumeza kama periodic table ya form two...helo helena lile beberu... I thing I need to...
  7. Bilinzozi

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Jaman kuna mtu mtu mwenye back-testing sofware...I really need it #ontario
  8. Bilinzozi

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Nauza shamba heka kumi kila heka laki 5...shamba lipo kibiti
  9. Bilinzozi

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    FXCC NI Dolar mia....just google top ten brokers utaletewa waliozuri kulinga na feedback za watu....pia msome huyo broker uelewe sheria zake
  10. Bilinzozi

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Du kwa urefu wa vitabu hivyo wa TZ lazima wasepe......maana kwa wasivyopenda kusoma...ni shidaaa
  11. Bilinzozi

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Mkuu #ontario hiki ndicho kitabu unackokisemea kina page 52... I just want to be sure
Back
Top Bottom