Recent content by Bilinganyi

  1. B

    Mh Ismail Jussa anatukumbusha uanachama wa Zanzibar Umoja wa Mataifa

    Hyo nchi mbona ilishakufa.na mwenzie Tanganyika. Akazaliwa TANZANIA. watanzania tujifunze kuisoma historia yetu. Mbona unalazimisha wenzako kufikiri kama wewe
  2. B

    MANYARA: Mnyeti awapiga marufuku Wakuu wa Wilaya kushirikiana na madiwani wa CHADEMA

    Huyu RC ana nia mbaya na Tanzania hivi siku ikifika tukaanza kuumizana wenyewe kwa wenyewe naye atakuwa anastahili kwenda kwenye mkono wa Sheria akajibu Dhambi hii
  3. B

    Josephine Mshumbushi: CHADEMA ni mali ya Mtei, kimejengwa kwa misingi ya unafiki na nidhamu ya woga

    Kwahiyo hata Dr Slaa hakuwahi kuijua CHADEMA ndio maana aliamua kuondoka kwenye chama
  4. B

    Serikali ya Magufuli hata Mbowe, Lowassa, Lissu na Lema wasingedumu kwa tabia ya unywaji

    JPM amemtumbua Waziri wake kutokana na dhamana aliyompa hivyo hawezi tumbua walevi wanaoingia Bungeni kama Wabunge tu kwani hao watakuja kuhukumiwa na wapiga kura
  5. B

    Tulidanganywa kutakuwa na mabasi yanayoenda Kasi

    Nafikiri watu wengi hawajaelewa tofauti ya Speed Transport na Rapid Transport ndio maana wanalalamika kuwa magari haya hayaende kwa mwendo wa Kasi.
  6. B

    Panama papers: Majina ya Watanzania waliohifadhi fedha nje ya nchi yatajwa

    Mbona Edo anaitwa Fisadi lakini kwenye hiyo Orodha hayumo.? Jamaani tunaompa jina la Ufisadi huenda ndio wao mafisadi
  7. B

    Kauli ya Rais Magufuli ya 'Watu Kuishi kama mashetani' inahalalisha maovu

    Naamini kabisa maisha ya shetani ndio matamu kuliko malaika kwasababu malaika maisha yake lazima yawe ya utakatifu hayana chembe yoyote ya dhuluma na chochote kile kinachoendana na uchafu. Shetani maisha yake ndio yenye raha sana maana yanakuwa na kila aina ya uchafu utamkuta shetani amejaa...
  8. B

    Nina mashaka na kazi anazozifanya Rais Magufuli

    Wabunge wa CCM walikataa Rasimu ya Mh Jaji Warioba wenye kupunguza madaraka ya Rais
  9. B

    Azam two live: Majadiliano ya muungano

    Naona hakuwa wale wenye mtizamo wa kati ili tupate majadiliano mazuri
  10. B

    Rais Magufuli amefanya uteuzi wa Makatibu Tawala wa Mikoa 26

    Haoni kitu kwakuwa jina lake halipo katika uteuzi huo
  11. B

    Diaspora tunadharaulika sana awamu hii

    Hamna lolote mini diaspora wababaishe tu na wapiga dili ninaofanya nao kazi walioletwa na mzee wa msoga sijao chaa ajabu walichofanya
  12. B

    Mawaziri wanapolalamikia fedha hazitoshi wasipuuzwe, wapo watu wanateseka

    Jsmani kama hatujui mambo tusijadili hivi unaposema waweke budget badala ya ON unatakakutuambia nini
  13. B

    Trilion 6 gawa kwa Watanzania milion 60 unapata Tshs 100,000

    Hawezi kufanya marekebisho kwani huo ndio ukomo wake wa kujua Hesabu
Back
Top Bottom