Zurie
JF-Expert Member
- Jul 6, 2014
- 2,005
- 5,550
huoni kitu gani?Sijui kama tatizo lipo kwangu mwenyewe sioni kitu?
Mkuu unataka ujione kwenye list ama vipi?Sijui kama tatizo lipo kwangu mwenyewe sioni kitu?
Attachments zilikuwa hazifunguki lakini sasa hivi ninaweza kusoma moja.huoni kitu gani?
Haoni kitu kwakuwa jina lake halipo katika uteuzi huoMkuu unataka ujione kwenye list ama vipi?
Atasubiri sana.Haoni kitu kwakuwa jina lake halipo katika uteuzi huo
Ooooh pole sana, kwahisani ya chama cha mapinduziJina langu hakuna dah