hakuna kitu kama hicho act wazalendo imeanzishwa kama vilivyoanzishwa vyama vingine hapa tusianze kuomba kura za uhuruma tuweke hoja mbele wananchi watupime kwa hoja zetu waone zipi zinafaa watahamua wenyewe tuache uoga na kujishuku mlitegemea mfukuze watu waende wapi wakati nao ni wanasiasa na...
Yani kwa mawazo yako ulitaka chama ambacho hata mwaka akijafikisha kiwe na mvuto zaidi ya hapo yani kiweje au ulitaka mpaka sasa watu wote wawe wamejiunga act tujaribu kutumia akili sana kufikilia
wakati mwingine unapokuwa kiongozi wa wananchi lazima uwe mkweli tusiwe na propeganda wakati wote hii skendo ni kweli maagizo yalitolewa kilichosadia ule mjini ulibarikiwa kuwa na watu wenye kujitambua hawafati maagizo ya mtu walisema ile ni nyumba ya wtz anaruhusiwa kuingia kila mtu wakasema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.