Tupate namba za waziri husika nahisi ndo atatatua kero zetu ila si hawa walagai wakubwa kwa wateja wao. Mpaka sasa tangu nimelipia nguzo hawataki kuniunganishia umeme. Naolewao nikimtambua muhusika mkuu anaeweza kuwatumbua ntamueleza bayana. Yaani nguzo zinapitishwa mbeleyangu kwenda kwa jirani...
Ushauri wangu kwa vyama pinzani nikwamba Yafanyike mabadiliko ya kiutawala ilidamu mpya zilete mabadiliko katika Sera za vya husika japokuwa ni ngumu kupenya kutokana na kutokuwa na nguvu ya kidola ila itapungua maswali mengi hususani kwa wananchi kutokana na sura zilezile kuonekana katika...
Pasipo na Shaka naunga mkono hoja kwa Ndg Yeriko Nyerere yakua baadhi yao ni halingumu ya kimaisha inayo wakabili pia shauku ya kuwa viongozi. Kwani Dr John raisi wa nchi yetu tukufu hapendi kiongozi kuwa kichwa Cha mwendawazimu katika utendaji wao hivyo serikali inajitahidi kushawishi baadhi ya...
Nawaona Wahadhuri wangu MNMA wakila shavu DEO-nyan'gwale, DEO-misungwi napia DEO-ukerewe Pongezi kwao ziwa endee kwa kifupi wako poa katika maswala ya community fairness coz nimiongoni mwa wakufunzi walio pendwa zaidi na wanazuoni kutokana na weledi wao katika kutengeneza kizazi kipya chenye...
Msaada was JF nitakiribani miezi sita sasa tangu nimelipia pesa za nguzo. Nikifuatilia ofisi husika hapa (w) naambiwa nguzo hazijaletwa ilehali naziona zinapita kwenda vijiji jirani. Je nifuate utaratibu gani au nifanye mawasiliano na nani ili huduma hi niipate mapema. Naomba kuwasilisha....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.