Recent content by Bilal bin Rabah

  1. Bilal bin Rabah

    Viongozi wa Kiislam wamtembelea Dr. Slaa Ofisini kwake

    Hilo ni gazeti la Annur au?
  2. Bilal bin Rabah

    Freeman Mbowe akabidhiwa fomu za kugombea uenyekiti CHADEMA Taifa

    Mbona na nyie mnahoji ACT-Tanzania inapata wapi pesa ya kujiendeleza?au mkuki kwa nguruwe....?
  3. Bilal bin Rabah

    Prof. Safari ajitosa kugombea nafasi ya makamu mwenyekiti CHADEMA taifa

    Mohamedi Mtoi "All those that fight when oppressed incur no guilty, but Allah shall punish the oppressor. Come the day " Holy Quran Sura 42, Verse 41 Mohamedi Mtoi haya maneno unayafikisha pale ufipa au umeweka kama show tu?
  4. Bilal bin Rabah

    Prof. Safari ajitosa kugombea nafasi ya makamu mwenyekiti CHADEMA taifa

    Hao Zitto na Arfi wako wapi sasa hivi?
  5. Bilal bin Rabah

    Freeman Mbowe akabidhiwa fomu za kugombea uenyekiti CHADEMA Taifa

    Hawa wazee si kila siku munawaita wanywa kahawa, wakaa vijiweni? kulikoni?...
  6. Bilal bin Rabah

    Siasa za ulimwengu wa sasa na madhila kwa waislamu ukweli unafahamika

    Sasa wewe unajua wapi elimu ya hadithi yani wewe unacopy na kupaste unajiona mjanja ngoja nikuache usije ukaanza kutukana.
  7. Bilal bin Rabah

    Siasa za ulimwengu wa sasa na madhila kwa waislamu ukweli unafahamika

    Unajua kuna watu wanajifanya wanajua kutukana sana na mimi sio kwamba nashindwa kutukana ila imani yangu hainiruhusu. Kuna wakati nashindwa kuchangia huku JF kutokana na matusi yanayotolewa na wajinga wachache, labda upande wenu mnaruhusiwa kutukana Lakini sisi tumeambiwa tuwaite tujadiliane...
  8. Bilal bin Rabah

    Siasa za ulimwengu wa sasa na madhila kwa waislamu ukweli unafahamika

    Ntuzu ule utaratibu waliotumia watu wa Libya wa kumng'oa Gaddafi sio sahih kabisa hata kama Gaddafi alikuwa na makosa. Lakini yanayowatokea sasa hivi watamkumbuka mimi naamini nchi za magharibi wakiongozwa na Marekani walishiriki katika hilo na nchi nyingine zote ambazo kumefanyika maandamano...
  9. Bilal bin Rabah

    Siasa za ulimwengu wa sasa na madhila kwa waislamu ukweli unafahamika

    We kenge unajua wanayoyafanya antibalaka unakumbuka yaliyotokea Rwanda unajua yaliyotokea hapa Tanzania kule Arumeru kipindi watu wanagombea dayosisi, watu walikata mpaka migomba na ng'ombe waliuwawa sijui kosa lao ni nini. Kule Ireland nako umesahau?
  10. Bilal bin Rabah

    Siasa za ulimwengu wa sasa na madhila kwa waislamu ukweli unafahamika

    Na wewe ni nani mpaka uwasemee waislamu? ...usidandie mambo usiyoyajua.
  11. Bilal bin Rabah

    Siasa za ulimwengu wa sasa na madhila kwa waislamu ukweli unafahamika

    Huwezi kuwa muislamu wewe ni mnafiki..
  12. Bilal bin Rabah

    Siasa za ulimwengu wa sasa na madhila kwa waislamu ukweli unafahamika

    Ntuzu haya maneno ungeanza kumwambia huyo Nyakageni yeye ndiye anapenda kuutukana uislamu... Sisi waislamu haturuhusiwi kujadiliana kwenye mijadala yenye matusi....
Back
Top Bottom