Recent content by Bikoli

  1. B

    JamiiForums Tanzania TAFAKARI: Tawi jipya la CRDB Chato, je ni uwekezaji unaolipa?

    Aiseee mkuu wewe kumbe unapafahamu, Katoro ndio center kubwa ya kibiashara, Chato ni kwa ajili ya kuweka ranch tu labda
  2. B

    JamiiForums Tanzania Hali tete: BOT yashusha viwango vya uwekezaji wa Dhamana & Hati fungani kuanzia Februari 21,2018

    wewe ndio urudi Class ukasome upya ili ujue tofauti ya Treasury bills rates na Bank rates, hapo Bank kuu imediscourage biashara za mabank kununua hizo hati fungani maana zina faida ndogo sana
  3. B

    JamiiForums Tanzania Hali tete: BOT yashusha viwango vya uwekezaji wa Dhamana & Hati fungani kuanzia Februari 21,2018

    Kajifunze upya mambo ya Treasury bills na Bonds, Hiro sio Bank rate ,au interest rate unazokusudia hapo
  4. B

    JamiiForums Tanzania Maswali kwa wanaolalamika na wanaoafiki Lissu kutoswa kulipiwa fedha za matibabu

    Uliangalia bunge ukiwa na akili timamu kweli ? Hukumsikia Lema akizungumzia matibabu ya Lissu? ?
  5. B

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya CHADEMA: Aqulina Akwilini Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza NIT apigwa risasi na kufariki; Polisi wakiri kuhusika

    Umeambiwa alikuwa kwenye daladala we taahira
  6. B

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi kuangusha uongozi wa BAKWATA?

    Yeye aliwambia wenzie wasichanganye siasa na dini kipindi cha Christmas na mwaka Mpya kisa wamemsema Raisi, sasa yeye kwa nini asisemwe??
  7. B

    JamiiForums Tanzania Muslim Hassanali awataka Waziri wa Mambo ya Ndani na wa Nje na Balozi wa USA wamshughulikie Mange Kimambi

    Hongereni ninyi msiomfuatilia na mnaoendelea kuwa werevu, sisi tunamfuatilia na tunaendelea na maisha yetu kama kawaida, Mange ni dawa ya wanafiki
  8. B

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa gesi umepotelea wapi?

    Hahahahaha, looooh,uchumi wa viwanda tushamaliza, sasa hivi tuko na uchumi wa marudio ya uchaguzi
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kwenye hili la Sugu, Mbeya inakwenda kuleta mageuzi na taifa zima litaamshwa!

    Hata wengine huishia kuonesha dharau, ila likitokea jambo ndio hata viziwi huanza kusikia
  10. B

    JamiiForums Tanzania Hadi sasa wabunge 10 wa CHADEMA wanasota kizimbani

    Quinine Zitto Kabwe, anakabiliwa na kesi ya uchoche, i
  11. B

    JamiiForums Tanzania Mzee baba, pakacha limeanza kuvuja ujue...

    Hahahahahahaha, and because he has crippled mind, then he won't understand what you mean
  12. B

    JamiiForums Tanzania Kipato cha mtu mmoja mmoja kimeongezeka, tusiruhusu ujinga wa kisiasa ukadhoofisha ubora

    Lakini mbona alisema watu wazaliane tu, sasa mnalalamikia tu, kumbe mnajua ni mzigo kulea? Lakini pia suluhu sio hiyo, utazuia michango na watoto watapata elimu mbovu isiyofaa na hilo litakuwa tatizo kubwa zaidi
  13. B

    JamiiForums Tanzania Dola milioni 300, siku 90, sentano kipande haijalipwa! acacia inakula hasara, has no capacity to pay! Tumedanganywa?

    Ni giza totorooo, tuendelee tu, nchi ya viwanda yaja
Back
Top Bottom