Recent content by bikola

  1. B

    JamiiForums Tanzania Niliacha kazi Serikalini, ni taasisi zipi za Serikali naweza kuajiriwa?

    Mimi niliacha kazi Serikalini, naona nafasi za kazi kwenye taasisi za Serikali ila nasikia kuna baadhi ya taasisi naweza kupokelewa na nyingine sitopokelewa. Taarifa ninayoomba ni kufahamu taasisi gani naweza pokelewa. Msaada please!
  2. B

    JamiiForums Tanzania Eneo zuri nyuma ya chuo cha mipango Dodoma linauzwa

    niko serious, 200M negotiable
  3. B

    JamiiForums Tanzania Crate za bia 48 zinauzwa

    crates na chupa zake tupu
  4. B

    JamiiForums Tanzania Eneo zuri nyuma ya chuo cha mipango Dodoma linauzwa

    hapana, ni kwa mzee Mlemo
  5. B

    JamiiForums Tanzania Crate za bia 48 zinauzwa

    Ndugu wanajamvi ninauza crate za bia 48 na chupa zake tupu kwa shs 10,000 kila moja. wasiliana nami kupitia 0717489246. nipo dsm
  6. B

    JamiiForums Tanzania Eneo zuri la kuendesha bar linakodishwa

    jirani na soko la makumbusho.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Eneo zuri nyuma ya chuo cha mipango Dodoma linauzwa

    hakuna structure yeyote
  8. B

    JamiiForums Tanzania Eneo zuri nyuma ya chuo cha mipango Dodoma linauzwa

    ndugu wanajamvi, eneo zuri ekari nne na robo nyuma ya chuo cha mipango Dodoma linauzwa tsh 200,000,000 maongezi yanaruhusiwa. wasiliana na dalali no 0714355068
  9. B

    JamiiForums Tanzania Eneo zuri la kuendesha bar linakodishwa

    kuanzia miezi sita na kuendelea
  10. B

    JamiiForums Tanzania Ni taratibu zipi zinafatwa kuanzisha/ kusajili Kampuni?

    BRELA ndie wakala wa kusajili kampuni Tanzania. unapaswa kuchagua jina la kampuni kwanza. wao ukiwapa pendekezo la jina, wataangalia kama hakuna kampuni inayotumia, na kama hakuna watakuruhusu utumie. utapaswa kuandaa nyaraka mbili ambazo ni memorandum of understanding na article of...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Nimepata taaarifa wafanyabiashara wadogo wameongezewa kodi na kulipa kodi kubwa zaidi

    mabadiliko yeyote ya kodi yanapitishwa na bunge, kwa hiyo ni vyema ukapitia mabadiliko yaliyofanywa kwa ajili ya mwaka huu wa fedha unaoisha, hakuna jipya, ni utekelezaji. inawezekana nguvu ya ufuatiliaji imeongezeka na aina ya ufanyaji tathmini.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Business partner invited,no capital required but you get paid

    je gharama za lobbying ( malazi, usafiri n.k) anapaswa kujigharamia?
  13. B

    JamiiForums Tanzania Eneo zuri la kuendesha bar linakodishwa

    ukitaka kuwekeza kwenye vinywaji peke yake au jiko peke yake kodi tsh 200,000 kwa hilo chaguo.
  14. B

    JamiiForums Tanzania Eneo zuri la kuendesha bar linakodishwa

    eneo lipo tayari kwa biashara, kodi tsh 400,000 kwa mwezi.
  15. B

    JamiiForums Tanzania Eneo zuri la kuendesha bar linakodishwa

    Wanajamvi. Eneo zuri la bar lina kighorofa linakodishwa maeneo ya makumbusho. wasiliana na dalali no 0714355068
Back
Top Bottom