Hapa jamvini kuna watu wengine wa ajabu sana!.
Mtu anaweza ku-post issue yenye public interest bila kujua ana effect maslahi hayo kwa namna gani,na mbaya zaidi anatumia mere ignorance with less vividence kuzumgumzia mambo sensitive!.
kwa mujibu wa BBC Swahili,ndege yetu imekamatwa kwa "court...
Mtoa mada ZAKUAMBIWA CHANGANYA NA ZA
KWAKO!.
Unachokifanya ni kutufanya wa Afrika kuendelea kupewa 'low IQ score' kwa mada kama hizi.
Unapaswa kuelewa kuwa 'cloning' haiwezi 'ku-recover memory of the real dead' ila inaweza kuifluence maumbile na tabia za kiumbe anaetengenezwa.
Kimsingi 'mental...
Wakuu,kwa mujibu wa katiba yetu,RAISI WA ZANZIBAR hayupo katika ITIFAKI ya 'STATE HEADS' PROTOCO'!.
Nionavyo jua mimi,mama aliitaja nafasi hiyo kama ya 3 akilinganisha na 'wapi alipo sasa'(vice prsd.) na wapi anapo zushiwa kutaka kuwa(zanz-prsd).
ITIFAKI YA WAKUU WA NCHI imefafanuliwa na ule...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.