Recent content by Biisa

  1. B

    JamiiForums Tanzania Huddah Monroe: Sinuki sehemu za siri, sivai nguo za ndani

    Kwani chupi zimeanza kuingia lini mrembo ? Au mabibi wa mabibi zetu wa mabibi zetu walikuwa wana vaa chupi ? Atakuwa ana namna anafanya inauo kidhi hiyo ada yake.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Unapowaambia wanaume watafute pesa, elewa wanatafuta pesa kwa ajili ya wanawake wa namna hii

    Sasa bibie mwanaume atakupendaje bila kuvutiwa na kitu ulicho nacho katika maumbile yako ? Yaani sisi huwa tunapenda pale ambapo tumevutiwa na kitu aidha mwendo, sura, umbo yaani nyama nyama,nasaba, tabia.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Unaweza kumuacha mtu unayependa kwa dhati kisa umeshauriwa na watu?

    Habari waungwana. Kwanza kabisa tuvumiliane. Leo nina swali, hivi unaweza kumuacha mtu unaye mpenda kwa dhati kwa kushauriwa na mtu au watu ? Hii hasa nauliza jinsia ya kike. Karibuni aisee, tupeane muongozo.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Wadau yamenikuta, hawa Wanawake hawa…

    Nimeshafanya hivyo kaka.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Wadau yamenikuta, hawa Wanawake hawa…

    Kabisa dada zake hawajaolewa.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Wadau yamenikuta, hawa Wanawake hawa…

    Kisa chako kilikuwaje kaka ?
  7. B

    JamiiForums Tanzania Wadau yamenikuta, hawa Wanawake hawa…

    Wengi humu wanajitutumua aidha wana uzoefu tayari au hawajawahi kukutwa na hii hali. Hapa najikaza kibishi tu.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Wadau yamenikuta, hawa Wanawake hawa…

    Simwambii mdau nimeshaghairi.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Wadau yamenikuta, hawa Wanawake hawa…

    Nimekuelewa kaka.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Wadau yamenikuta, hawa Wanawake hawa…

    Sawa sawa.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Wadau yamenikuta, hawa Wanawake hawa…

    Nimeshamuacha.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Wadau yamenikuta, hawa Wanawake hawa…

    Kweli kabisa.
  13. B

    JamiiForums Tanzania Wadau yamenikuta, hawa Wanawake hawa…

    Kweli najidanganya cha msingi nimepiga kimya basi.
  14. B

    JamiiForums Tanzania Wadau yamenikuta, hawa Wanawake hawa…

    Nimekuelewa sana kaka.
  15. B

    JamiiForums Tanzania Wadau yamenikuta, hawa Wanawake hawa…

    Ni ndani ya miezi minne tu.
Back
Top Bottom