Kweli kabisa. Nchi hii tuna Almasi, Dhahabu, madini aina zote, Makaa ya mawe, Copper, Uranium, na mengine chungu nzima. Tumezungukwa na Maziwa makubwa ya Africa, Tuna Mito ya kutosha, ardhi yenye rutuba kubwa, vivutio vya utalii chungu nzima na vyenye kuongoza ulimweguni. Tuna Bandari zaidi ya...