Hii imenikuta mwezi wa 9, nililipia bidhaa aliexpress kupitia Tigo Mastercard. Hela ilikatwa lakini Aliexpress wakasema malipo hayajafika. Kuwasiliana na Tigo hawakuwa na majibu ya kueleweka. Nashauri ni bora zaidi manunuzi ya mtandaoni yafanyike kwa njia ya Visa au Mastercard zinazotolewa na Bank.
Huyo uliemkuta Airtel nadhani labda mgeni au hamkuelewana. Maana nina kama wiki 2½ natumia Airtel unlimited ya 70,000 na tayari nimetumia almost 300GB.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.