Recent content by big85

  1. B

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya uelekeo wa barabara katikati ya jiji la dar es salaam kuanzia siku ya tarehe 28/04/20

    Hiyo imekaa vizuri sana, maana foleni zitapungua
  2. B

    JamiiForums Tanzania SWALI KWA BOYS wa kichagga

    hapo sasa umefunguka kiukweli. Lakini wajaga wanapaswa kujirekebisha, wajifunze kutoka tribes nyingine jinsi wanavyo practice
  3. B

    JamiiForums Tanzania Boti ya Mv Kilimanjaro II kutoka Pemba kuelekea Unguja yanusurika kuzama

    Cha msingi hapo ni kumshukuru Mungu kwa wale walionusurika na kwa wale walioondokewa na ndugu zao "kazi ya Mungu haina makosa". Na wala sio kusema kwamba tarehe za mwanoni mwa mwaka zinakuwa na majanga. Janga ni janga tu halina wakati maalum kutokea.
Back
Top Bottom