Mkuu. Mi nimekuja chuga na kibegi changu cha nguo tu. Sa hv nina duka mjini kati, hao wahindi na waarabu ni watu wa kawaida kama ww. Ukiingia kichwa kichwa utapigwa bei za ajabu. Akili kichwani. Acha uoga
Wakuu, naomba mnisaidie atakaesikia kazi ya ualimu kwenye shule za sekondari mwalimu anaitajika. Naomba anisaidie.
Nafundisha masomo ya biashara. Book keeping na commerce. Sana mikoa ya kaskazini. Moshi, Arusha na Babati
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.