Recent content by BIG SUNDAY

  1. BIG SUNDAY

    Anga la washenzi na Joana anaona kitu usiku

    Umetuachia kitendawili, kamanda walienda kumfanya nn? Sema nn Big up bro. Fanya mpango utoe kitabu aise
  2. BIG SUNDAY

    Anga la washenzi na Joana anaona kitu usiku

    Nouma sn! Tivu fanya yako kaka
  3. BIG SUNDAY

    Mpango wa kulifumua upya jiji la Dar na kulifanya kuwa kitovu cha biashara sasa umeiva

    mkuu umetisha sn! hata wao waliimba kw CCM NI ILE ILE so hawawezi kubadilika watz tumeshaingia choo cha kike tena kwa propaganda za muda mfupi tukamuona mtendaji kazi oooh jembe ila nothing else wote ni wale wale Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
  4. BIG SUNDAY

    TCU wanauhalali gani wa kuanzisha ada ya Quality Assurance !?

    ivi wao wakishatoa selection zao c wameshamalizana na wanavyuo au wanaingiaje tena naomba mnieleweshe
  5. BIG SUNDAY

    Matokeo ya Kidato cha Nne yana mchango gani katika kuchaguliwa chuo?

    acha uongo umesoma wapi ww!! tcu ndo wameweka ivyo vigezo bt first priority wanapewa waliosoma hayo masomo advance
  6. BIG SUNDAY

    Nimemaliza form 4 naombeni ushauri?

    zipo kazi nyingi hata kufagia unaweza kupata so jaribu utapata kazi benki,tafta akampuni ya usafi yanayotumiwa na mabenki wanaweza kukuajiri na ww ukaonje AC za benki
  7. BIG SUNDAY

    SUA kuna balaa gani? Warembo wao mbona wamefanana na kilimo?

    hapa ni mascientist co vilaza wa arts!
  8. BIG SUNDAY

    SUA kuna balaa gani? Warembo wao mbona wamefanana na kilimo?

    ww inaelekea ni limbukeni wa wanawake!
  9. BIG SUNDAY

    SUA kuna balaa gani? Warembo wao mbona wamefanana na kilimo?

    ww huku ni msuli 2 tunataka kutoa maexpert wa maana co km vyuo vilaza wa vyuo baadhi ya ulivyovitaja!
Back
Top Bottom