Recent content by BIG RESULTS NOW

  1. B

    JamiiForums Tanzania Wasukuma, Wahaya, Wachaga, Wasipewe nchi: Mwalimu Nyerere aliwaza nini?

    Me naona hapa Nyerere ndio mbaguzi first class...Anahubiri kupinga ubaguzi wakati yeye ndio nambari wani
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mbio za Urais 2015: Mbatia aungana na 'Team Lowassa' chini ya Uratibu wa Apson Mwang'onda

    Si ndio hapo mkuu....then hawajui kama wanamsafishia njia Don King kuelekea ikulu
  3. B

    JamiiForums Tanzania Mbio za Urais 2015: Mbatia aungana na 'Team Lowassa' chini ya Uratibu wa Apson Mwang'onda

    Mbona wengine wanatoa kwa hao hao na hawaungwi mkono huoni kwamba wanamapungufu?
  4. B

    JamiiForums Tanzania Mbio za Urais 2015: Mbatia aungana na 'Team Lowassa' chini ya Uratibu wa Apson Mwang'onda

    Wewe kipi kinachokuwasha ikiwa apson ni mstaafu na ni mtu huru kuungana na yeyote amtakaye....mmeshikwa pabaya sasa hivi mnatapatapa
  5. B

    JamiiForums Tanzania Mbio za Urais 2015: Mbatia aungana na 'Team Lowassa' chini ya Uratibu wa Apson Mwang'onda

    Sasa kama kachafuka unatoa povu la nini hapa.. Hujiamini au? Au huamini jinsi nyomi ya watanzania inavyomuunga mkono? Mmeshikwa pabaya na don king
  6. B

    JamiiForums Tanzania Mbio za Urais 2015: Mbatia aungana na 'Team Lowassa' chini ya Uratibu wa Apson Mwang'onda

    Mgombea wa CCM anayeungwa mkono mpaka na wapinzani wakiongozwa na ndesapesa
  7. B

    JamiiForums Tanzania Mbio za Urais 2015: Mbatia aungana na 'Team Lowassa' chini ya Uratibu wa Apson Mwang'onda

    Lowassa kawashika pabaya sana mkuu
  8. B

    JamiiForums Tanzania Mbio za Urais 2015: Mbatia aungana na 'Team Lowassa' chini ya Uratibu wa Apson Mwang'onda

    Sasa kama anaungwa mkono na ukawa huoni ni ushindi kwa Lowassa? Katika siasa kikubwa ni kukubalika hayo mengine ni porojo na umbea....lowasa for presidency
  9. B

    JamiiForums Tanzania Watanzania wataijutia ile kura ya veto ya Mwl.Nyerere kumkataa Lowassa

    Mkuu Lowassa atatutoa kwenye Jua la utosi linalotuandama tangu 1995 kwenye ile kura ya veto
  10. B

    JamiiForums Tanzania Watanzania wataijutia ile kura ya veto ya Mwl.Nyerere kumkataa Lowassa

    Sina haja ya kukueleza kwamba huna ushahidi wa huo ufisadi unaousema
  11. B

    JamiiForums Tanzania Watanzania wataijutia ile kura ya veto ya Mwl.Nyerere kumkataa Lowassa

    Wakuu habari zenu. -Sina haja ya kuwalazimisha kuamini kuwa Lowassa ndiye rais wa awamu ya tano. -Sina haja pia ya kuwaeleza ufanisi na uchapakazi wa Edward Lowassa katika kuutumikia umma. - Vile vile sina haja kuwaelezea upendo wa dhati wa Edward Lowassa kwa watanzania na Uzalendo uliotukuka...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Interview ya Ali Kiba kwenye Mkasi Live

    Huu sisi ndio tunaita ulimbukeni....kila mtu anadress code yake sasa kwa vile wewe ni wa sitimbi umewehuka na cheni na pete na hereni....Kiba ni matured alishapita kote hukoo he's a legend and smart...By the way unamjua Pharrel Williams? Yupo simple kiuvaaji na ni big star duniani..unalingine???
  13. B

    JamiiForums Tanzania Kiingilio kwenye show za diamond kimepanda sasa ni 50,000 /=

    Dawa imekuingia sasa.....
  14. B

    JamiiForums Tanzania Mwenye nafasi ya kuongoza BAVICHA taifa ni DANIEL NAFTAL NGOGO

    Naftali sio mchaga hatuwezi kumpa kura zetu
  15. B

    JamiiForums Tanzania Mwenye nafasi ya kuongoza BAVICHA taifa ni DANIEL NAFTAL NGOGO

    Mtoa mada unaugua Ebola....
Back
Top Bottom