Recent content by Big Money

  1. B

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota Rav4

    Bado ipo mkuu karibu Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
  2. B

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota Harrier Lexus 5.9 million tu

    Asante ila haina masilahi
  3. B

    JamiiForums Tanzania Naleta simu kwa order from korea

    Nataka Note 3 na Note 4 za 32GB na ziwe na uwezo wa 4G utaniletea kwa bei gani maana nataka compare ni kiagiza kwako na nikiagiza from China wapi nitasave.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota Corolla X

    180,000
  5. B

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota Rav4

    Full ac Full vibali FM/AM Radio Engine haisumbui Matairi yako vizuri Bei 6.3 Million Kwa maongezi zaidi 0716398757
  6. B

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota Corolla X

    Full vibali Full ac Engine mpya haina tatizo Haigongi chini DVD/Bluetooth Music Luxury seats Perfect in every way Bei 6.5 million Kwa maongezi zaidi 0716398757
  7. B

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota Harrier Lexus 5.9 million tu

    Asante karibu sana
  8. B

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota Harrier Lexus 5.9 million tu

    Nashukuru kwa elimu mkuu
  9. B

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota Harrier Lexus 5.9 million tu

    0716398757 Check me tuongee
  10. B

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota Harrier Lexus 5.9 million tu

    Harrier Old Model 2990cc 6 Cylinder 180,000km Silver/ Grey Color TV Full Ac Vibali vyote vimelipiwa Matari yanafaa kwa safari ndefu Engine safi haisumbui wala kuvuja Automatic 5.9 million 0716398757 Exchange pia ina karibishwa. Vigezo na masharti kuzingatiwa.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Jinsi gani ya kuupgrade Note II kusoma 3G ambayo ipo programmed kusoma 2G only?

    Nashukuruu sana wakuu hapa sasa naona nimepata mwanga basii nitawapa feedback nikifanikiwa kuitibuu.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Jinsi gani ya kuupgrade Note II kusoma 3G ambayo ipo programmed kusoma 2G only?

    Hayo maswali nilishayajibu mkuu ila labda ni ya jibu tena. Kwanza nianze kwa kushukuru kwa hio link na maelezo hapo tatizo tuu ni kwamba kwenye hio link nimeshindwa elewa vitu vingine maana uelewa wa mambo ya IT sina sana. Majibu ya maswali yako ni haya hapa. 1. Niko Dar es salaam, Mbezi...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Jinsi gani ya kuupgrade Note II kusoma 3G ambayo ipo programmed kusoma 2G only?

    Basi labda hizi picha zaweza saidia uelewe zaidii
  14. B

    JamiiForums Tanzania Jinsi gani ya kuupgrade Note II kusoma 3G ambayo ipo programmed kusoma 2G only?

    Its orignal kaka vyote hivo nimefanya camera test na code test zote all that, ni orignal kabisa sema ndio hivo
  15. B

    JamiiForums Tanzania Jinsi gani ya kuupgrade Note II kusoma 3G ambayo ipo programmed kusoma 2G only?

    Daaaah sina box lake mkuu ila inavoonekana haikutengenezwa kwa ajili ya matumizi ya Kiafrica au Tz sema sasa ndio how do i change that to 3G ndio shida yangu
Back
Top Bottom