Recent content by big mike

  1. B

    JamiiForums Tanzania Parking fee za jiji la Dar es Salaam ni kweli zimepanda?

    Kingine cha kushangaza hii kampuni mpya ya parking ni ya Kenya. Sasa kweli kama serikali inataka hela ibaki nchini mbona kama tumefeli hapo.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Parking fee za jiji la Dar es Salaam ni kweli zimepanda?

    Kwa kutuma malalamishi unaweza tuma kwenye email mailto:info@competition.or.tz Website yao ni Fair Competition Commission Kam ifuatavyo natuma email. Hii hali sio kabisa. Mikopo ya chuo 15% halafu ongeza na hii.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Mizigo Posta

    HI, wiki hii nimepata mzigo wangu kutoka online store ya asos, Huwa naagizaga viatu, Kwa ufahamu wangu huwa vitu vikiwa chini ya kilo mbili(2) huwa hulipii Ushuru/customs(TRA). Hiyo mizigo inafuatwaga nakitengo cha ofisi kiitwacho mail room na hao hukuletea hadi mezani kwako. Leo cha ajabu mtu...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Polisi wa Salenda Bridge wanabambikia kesi

    Nimekerwa na kilichonitokea baada ya police kusimamisha na kudai nimepitaa taa nyekundu Waikati ilikuwa ni kijani. Kama police wanaweza kutunga vitu Kama hivi kupata pesa,kweli watashindwa kukupa kesi ya mauaji. Unalipishwa faini ukubwa Kwa kosa hujalifanya. Tunajua kazi Ngumu lakini sio kutumia...
Back
Top Bottom